Tumeona waamuzi wengi wamekuwa wakichotwa na propaganda za timu moja inayoishi kwa kudanganya mashabiki wao.
Ninashauri ili kulisaidia soka la Tanzania,sheria zote za mchezo wa soka zifuatwe ili vijana wajifunze kuwa na nidhamu kwenye soka na hata wakishiriki kimataifa wasipate shida kwa sababu ya kuishi kwa mazoea mabaya yasiyofuata kanuni za soka.
Iwapo itatokea penalty hata kama ni 4 zitengwe ili wachezaji wajue nidhamu ya ukabaji katika maeneo yote ya uwanja.
Iwapo wachezaji wataendekeza ujinga wa kupoteza muda,muda wa dakika 90 utunzwe soka lichezwe kwa muda sahihi na sio kuleta sinema uwanjani.
Waamuzi waheshimu uwekezaji uliofanywa kwenye soka letu na kwa hiyo wasisite kufanya maamuzi sahihi bila kujali kelele za chura.
Mambo haya ya kutozingatia sherua za soka ndiyo yanafanya bingwa wa soka asifanye vizuri kimataifa.
Unakuta timu ina tamba ina ubingwa mara nyingi lakini imecheza robo fainali moja tu na fainali moja kitu ambacho kinaashiria tu kuwa ubingwa wao ni wa mchongo Mara nyingi.
Au timu inashika nafasi ya pili lakini ikienda kimataifa haifanyi chochote wakati mwingine hata kuingia kwenye makundi haiingii.
Sheria za soka zifuatwe hata kama ni chungu dhidi ya timu unayoipenda.
Acheni yale maneno ya akina dauda eti mgongano wa kawaida wakati mtu anacheza rafu kwenye box au mchezaji anachezewa rafu mnasema nyepesi sana hiyo.Mnataka hadi mchezaji apigwe kisu ndio iwe penalty?