Sheria za Tanzania Ziko Imara: Amani Kwanza, Siasa Baadaye

Kumekuwa na mijadala mikubwa kufuatia kauli zilizotolewa ndani ya Bunge la Umoja wa Ulaya (EU), zikilenga kuishinikiza Tanzania kuhusu masuala ya siasa za ndani, hasa yanayohusishwa na mwanasiasa Tundu Lissu. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo yanapaswa kuwekwa sawa ili kuepuka taswira potofu kuhusu Tanzania na misingi yake ya kikatiba.

Kwanza, ni vyema kukumbuka kwamba Tanzania ni nchi yenye mamlaka kamili ya kufanya maamuzi yake kama taifa huru (sovereign state). Hii ni misingi ya msingi katika mahusiano ya kimataifa – kila nchi ina haki ya kujiamulia mambo yake ya ndani bila kuingiliwa.

Aidha, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi kabisa katika kulinda amani, umoja na utulivu wa nchi. Inapinga vikali vitendo vyovyote vya uvunjifu wa sheria, hasa vinavyoweza kuchochea wananchi kuasi au kuichukia serikali yao. Sheria za nchi hazipo kwa ajili ya kuvunja demokrasia, bali kulinda utulivu wa kitaifa unaowawezesha wananchi wote kuishi kwa amani bila woga.

Kuhusu hoja za uchaguzi na ushiriki wa EU kama waangalizi, ukweli ni kwamba Umoja wa Ulaya haukutimiza matakwa ya kisheria yaliyowekwa na Tanzania. Walikataa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi — nyaraka muhimu zinazotoa uhalali wa kisheria kwa taasisi za nje kushiriki kama waangalizi. Hatua yao ya kujitoa ilitokana na maamuzi yao wenyewe. Hivyo basi, kutoshiriki kwao hakukuathiri kwa namna yoyote uhalali wa mchakato wa uchaguzi uliofanyika kwa mujibu wa Katiba na sheria za Tanzania.

Hivi karibuni, akizungumza mbele ya Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya, Mbunge Michael Gahler aliomba bunge hilo lizingatie kuzinyima misaada nchi za Afrika ambazo, kwa mtazamo wake, “zinazuia wapinzani kushiriki kwenye uchaguzi” hadi pale hali hiyo itakaporekebishwa. Pia alitoa hoja kwamba EU mara nyingi haioni haja ya kutuma waangalizi wa uchaguzi katika nchi fulani kwa sababu, kwa maneno yake, “wanajua tayari matokeo yatakuwaje.”

Lakini hapa ndipo hoja ya msingi inapojitokeza: je, ni sawa kutumia misaada kama silaha ya kisiasa ili kuingilia maamuzi ya kisheria na kikatiba ya nchi huru? Na je, hoja kwamba kutotumwa kwa waangalizi kunamaanisha uchaguzi si huru, inasimama kweli wakati ni EU wenyewe waliokataa kutimiza taratibu za msingi zilizowapa nafasi ya kushiriki?

Ni wazi kwamba presha kama hizi, zinazoendeshwa kwa misingi ya kisiasa na propaganda, zinalenga kuyumbisha nchi zinazoendelea ili zifuate matakwa ya nje bila kuzingatia uhalisia wa ndani na uhuru wa kikatiba. Tanzania ina haki kamili ya kulinda amani, umoja na utulivu wake, na misingi hii haipaswi kutishiwa na mashinikizo kutoka nje yenye misingi ya kisiasa au maslahi binafsi.
Nchi zote zilizo wekewa vikwazo kama Korea,Cuba, Venezuela hata Urusi nk ni sovereign states,unaongea nini wewe?
Siku hizi Dunia haimvumilia muuaji dictator kama Reich Fuhrer tena utapigwa na wapenda haki Dunia nzima.
 
Sahihi kabisa, Kenya walienda kinyume chase, inawagharimu
 
Sasa kama hivyo ndivyo mbona wenye pesa zao wakikufatilia una BINUA KIUNO na kunengua kama bi hadija kopa aliwa chimwaga? Kwenye vikao vya maamuzi va ccm?
H
Swali lako nimekujibu, nawewe jibu swali hapo
 
Kumekuwa na mijadala mikubwa kufuatia kauli zilizotolewa ndani ya Bunge la Umoja wa Ulaya (EU), zikilenga kuishinikiza Tanzania kuhusu masuala ya siasa za ndani, hasa yanayohusishwa na mwanasiasa Tundu Lissu. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo yanapaswa kuwekwa sawa ili kuepuka taswira potofu kuhusu Tanzania na misingi yake ya kikatiba.

Kwanza, ni vyema kukumbuka kwamba Tanzania ni nchi yenye mamlaka kamili ya kufanya maamuzi yake kama taifa huru (sovereign state). Hii ni misingi ya msingi katika mahusiano ya kimataifa – kila nchi ina haki ya kujiamulia mambo yake ya ndani bila kuingiliwa.

Aidha, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi kabisa katika kulinda amani, umoja na utulivu wa nchi. Inapinga vikali vitendo vyovyote vya uvunjifu wa sheria, hasa vinavyoweza kuchochea wananchi kuasi au kuichukia serikali yao. Sheria za nchi hazipo kwa ajili ya kuvunja demokrasia, bali kulinda utulivu wa kitaifa unaowawezesha wananchi wote kuishi kwa amani bila woga.

Kuhusu hoja za uchaguzi na ushiriki wa EU kama waangalizi, ukweli ni kwamba Umoja wa Ulaya haukutimiza matakwa ya kisheria yaliyowekwa na Tanzania. Walikataa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi — nyaraka muhimu zinazotoa uhalali wa kisheria kwa taasisi za nje kushiriki kama waangalizi. Hatua yao ya kujitoa ilitokana na maamuzi yao wenyewe. Hivyo basi, kutoshiriki kwao hakukuathiri kwa namna yoyote uhalali wa mchakato wa uchaguzi uliofanyika kwa mujibu wa Katiba na sheria za Tanzania.

Hivi karibuni, akizungumza mbele ya Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya, Mbunge Michael Gahler aliomba bunge hilo lizingatie kuzinyima misaada nchi za Afrika ambazo, kwa mtazamo wake, “zinazuia wapinzani kushiriki kwenye uchaguzi” hadi pale hali hiyo itakaporekebishwa. Pia alitoa hoja kwamba EU mara nyingi haioni haja ya kutuma waangalizi wa uchaguzi katika nchi fulani kwa sababu, kwa maneno yake, “wanajua tayari matokeo yatakuwaje.”

Lakini hapa ndipo hoja ya msingi inapojitokeza: je, ni sawa kutumia misaada kama silaha ya kisiasa ili kuingilia maamuzi ya kisheria na kikatiba ya nchi huru? Na je, hoja kwamba kutotumwa kwa waangalizi kunamaanisha uchaguzi si huru, inasimama kweli wakati ni EU wenyewe waliokataa kutimiza taratibu za msingi zilizowapa nafasi ya kushiriki?

Ni wazi kwamba presha kama hizi, zinazoendeshwa kwa misingi ya kisiasa na propaganda, zinalenga kuyumbisha nchi zinazoendelea ili zifuate matakwa ya nje bila kuzingatia uhalisia wa ndani na uhuru wa kikatiba. Tanzania ina haki kamili ya kulinda amani, umoja na utulivu wake, na misingi hii haipaswi kutishiwa na mashinikizo kutoka nje yenye misingi ya kisiasa au maslahi binafsi.
Kuna Sheria hapa au ni upuuzi TU? Mpaka leo upelelezi haujakamilika!
 
wewe ni mpumbavu sana, na aina ya watu kama wewe ndio wanampotosha rais. ulaya wakiamua kuziba pua yako hao hutakuwa na hata mtandao huo, nchi yako iliyo huru haija invent chochote, tunadepend ulaya kwakila kitu. export na imports tunawahitaji, hata meli za kuleta bidhaa tu hapa nchi hii haina hat amoja, dola, uwekezaji kila kitu. kwa kifupi wakiamua kutushughulikia, nchi hii imekwisha. mjinga mkubwa wewe.
Nyie ndio wale mnaugua ugonjwa wa kukosa maarifa. Ulaya hawana mamlaka ya kuingia mambo yetu ya ndani eti kwa kigezo cha misaada. Kuna sheria ya kila kitu sasa wao wameshindwa kutimiza sasa hivi wanakuja kupiga kelele na huyo chiba wao. Waambie kwamba Tanzania haiwezi kuyumbishwa sabab mama yuko kazini.
 
Kumekuwa na mijadala mikubwa kufuatia kauli zilizotolewa ndani ya Bunge la Umoja wa Ulaya (EU), zikilenga kuishinikiza Tanzania kuhusu masuala ya siasa za ndani, hasa yanayohusishwa na mwanasiasa Tundu Lissu. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo yanapaswa kuwekwa sawa ili kuepuka taswira potofu kuhusu Tanzania na misingi yake ya kikatiba.

Kwanza, ni vyema kukumbuka kwamba Tanzania ni nchi yenye mamlaka kamili ya kufanya maamuzi yake kama taifa huru (sovereign state). Hii ni misingi ya msingi katika mahusiano ya kimataifa – kila nchi ina haki ya kujiamulia mambo yake ya ndani bila kuingiliwa.

Aidha, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi kabisa katika kulinda amani, umoja na utulivu wa nchi. Inapinga vikali vitendo vyovyote vya uvunjifu wa sheria, hasa vinavyoweza kuchochea wananchi kuasi au kuichukia serikali yao. Sheria za nchi hazipo kwa ajili ya kuvunja demokrasia, bali kulinda utulivu wa kitaifa unaowawezesha wananchi wote kuishi kwa amani bila woga.

Kuhusu hoja za uchaguzi na ushiriki wa EU kama waangalizi, ukweli ni kwamba Umoja wa Ulaya haukutimiza matakwa ya kisheria yaliyowekwa na Tanzania. Walikataa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi — nyaraka muhimu zinazotoa uhalali wa kisheria kwa taasisi za nje kushiriki kama waangalizi. Hatua yao ya kujitoa ilitokana na maamuzi yao wenyewe. Hivyo basi, kutoshiriki kwao hakukuathiri kwa namna yoyote uhalali wa mchakato wa uchaguzi uliofanyika kwa mujibu wa Katiba na sheria za Tanzania.

Hivi karibuni, akizungumza mbele ya Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya, Mbunge Michael Gahler aliomba bunge hilo lizingatie kuzinyima misaada nchi za Afrika ambazo, kwa mtazamo wake, “zinazuia wapinzani kushiriki kwenye uchaguzi” hadi pale hali hiyo itakaporekebishwa. Pia alitoa hoja kwamba EU mara nyingi haioni haja ya kutuma waangalizi wa uchaguzi katika nchi fulani kwa sababu, kwa maneno yake, “wanajua tayari matokeo yatakuwaje.”

Lakini hapa ndipo hoja ya msingi inapojitokeza: je, ni sawa kutumia misaada kama silaha ya kisiasa ili kuingilia maamuzi ya kisheria na kikatiba ya nchi huru? Na je, hoja kwamba kutotumwa kwa waangalizi kunamaanisha uchaguzi si huru, inasimama kweli wakati ni EU wenyewe waliokataa kutimiza taratibu za msingi zilizowapa nafasi ya kushiriki?

Ni wazi kwamba presha kama hizi, zinazoendeshwa kwa misingi ya kisiasa na propaganda, zinalenga kuyumbisha nchi zinazoendelea ili zifuate matakwa ya nje bila kuzingatia uhalisia wa ndani na uhuru wa kikatiba. Tanzania ina haki kamili ya kulinda amani, umoja na utulivu wake, na misingi hii haipaswi kutishiwa na mashinikizo kutoka nje yenye misingi ya kisiasa au maslahi binafsi.
Factos
 
Amani ipi hiyo kubwa jinga la mama?

Umesikiliza press hiyo?

Namba zinazidi kuongezeka kutoka 83-93 na hapo ni known cases je unknown cases ni ngapi?

Hadi atekwe mumeo ndio utajua kuna hatari?
Ni dhahiri kwamba Gwajima na ile press yake amekurupuka, kama angekuwa na akili angefuatilia taarifa iliyotolewa na polisi chanzo cha watu kupotea na kuuawa. Kama ameweza kufatilia taarifa nyingine basi akasome na ile ndio aje tena kuzungumza aseme chanzo ni nini maana taarifa ya polisi imeeleza vyema.
 
Nchi huru hazizidi 20 duniani.. ndo maana ukizingua wanatishia kukunyima MISAADA na MIKOPO,, ndani ya hiyo MISAADA na MIKOPO ndo huo Uhuru unapoondolewa..
 
Ni dhahiri kwamba Gwajima na ile press yake amekurupuka, kama angekuwa na akili angefuatilia taarifa iliyotolewa na polisi chanzo cha watu kupotea na kuuawa.
Wewe ndio umekurupuka , polisi walipotoa ripoti ya matukio ya watu kupotea June 18 mwaka huu katika ukurasa wao wa X wametoa matukio hadi ya 2019

Ajabu ni kuwa matukio ya mwaka jana hayapo

Mfano Edgar Mwakabela "Sativa" alitekwa June 23 , 2024 Dar es Salaam, akaja kupatikana tarehe 27 June, 2024 mbugani Katavi na hakuna ripoti hadi leo ya polisi kuhusu tukio hili na hiyo orodha yao tukio hili halimo.

Deusdedith Soka aliitwa kituo cha polisi Chang'ombe akafuate pikipiki yake iliyopotea August 18, 2024 hdi leo hakuwahi kuonekana na tukio hili halipo katika orodha yao.

Mzee Ali Kibao alishushwa kwenye gari mchana kweupe September 8 ,2024 na watu wakiwa na silaha na mwili wake kukutwa ununio kesho yake ameuwawa na kutolewa macho na kumwagiwa tindikali , Samia akasema "kifo ni kifo".

Mdude Mpaluka alivamiwa usiku na watu waliojitambulisha ni polisi May 2,2024 na walimpiga vibaya hadi kuvuja damu nyingi na kuondoka nae hadi leo ni miezi 2 haijulikani alipo na tukio hili halimo katika orodha yao.

Sasa nikuulize hadi hapo unataka tuwaamini jeshi ambalo linatumika kisiasa mbona wanaccm hawauwawi au CCM wana kitu gani "special" kuendelea kuishi ila wengine wasistahili?

Kwanini hawatoi ripoti zote na kwanini ni mwezi mzima sasa wanafunga comment section kwenye account ya umma wanaogopa nini?
Kama ameweza kufatilia taarifa nyingine basi akasome na ile ndio aje tena kuzungumza aseme chanzo ni nini maana taarifa ya polisi imeeleza vyema.
Afutilie taarifa gani wewe, hivi unaelewa hata unachoandika hapa au ni hivyo vipesa vya damu hivyo ndio vinakutoa utu?

Your time will come , where is Magufuli now ?
 
Back
Top Bottom