Nchi zote zilizo wekewa vikwazo kama Korea,Cuba, Venezuela hata Urusi nk ni sovereign states,unaongea nini wewe?Kumekuwa na mijadala mikubwa kufuatia kauli zilizotolewa ndani ya Bunge la Umoja wa Ulaya (EU), zikilenga kuishinikiza Tanzania kuhusu masuala ya siasa za ndani, hasa yanayohusishwa na mwanasiasa Tundu Lissu. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo yanapaswa kuwekwa sawa ili kuepuka taswira potofu kuhusu Tanzania na misingi yake ya kikatiba.
Kwanza, ni vyema kukumbuka kwamba Tanzania ni nchi yenye mamlaka kamili ya kufanya maamuzi yake kama taifa huru (sovereign state). Hii ni misingi ya msingi katika mahusiano ya kimataifa – kila nchi ina haki ya kujiamulia mambo yake ya ndani bila kuingiliwa.
Aidha, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi kabisa katika kulinda amani, umoja na utulivu wa nchi. Inapinga vikali vitendo vyovyote vya uvunjifu wa sheria, hasa vinavyoweza kuchochea wananchi kuasi au kuichukia serikali yao. Sheria za nchi hazipo kwa ajili ya kuvunja demokrasia, bali kulinda utulivu wa kitaifa unaowawezesha wananchi wote kuishi kwa amani bila woga.
Kuhusu hoja za uchaguzi na ushiriki wa EU kama waangalizi, ukweli ni kwamba Umoja wa Ulaya haukutimiza matakwa ya kisheria yaliyowekwa na Tanzania. Walikataa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi — nyaraka muhimu zinazotoa uhalali wa kisheria kwa taasisi za nje kushiriki kama waangalizi. Hatua yao ya kujitoa ilitokana na maamuzi yao wenyewe. Hivyo basi, kutoshiriki kwao hakukuathiri kwa namna yoyote uhalali wa mchakato wa uchaguzi uliofanyika kwa mujibu wa Katiba na sheria za Tanzania.
Hivi karibuni, akizungumza mbele ya Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya, Mbunge Michael Gahler aliomba bunge hilo lizingatie kuzinyima misaada nchi za Afrika ambazo, kwa mtazamo wake, “zinazuia wapinzani kushiriki kwenye uchaguzi” hadi pale hali hiyo itakaporekebishwa. Pia alitoa hoja kwamba EU mara nyingi haioni haja ya kutuma waangalizi wa uchaguzi katika nchi fulani kwa sababu, kwa maneno yake, “wanajua tayari matokeo yatakuwaje.”
Lakini hapa ndipo hoja ya msingi inapojitokeza: je, ni sawa kutumia misaada kama silaha ya kisiasa ili kuingilia maamuzi ya kisheria na kikatiba ya nchi huru? Na je, hoja kwamba kutotumwa kwa waangalizi kunamaanisha uchaguzi si huru, inasimama kweli wakati ni EU wenyewe waliokataa kutimiza taratibu za msingi zilizowapa nafasi ya kushiriki?
Ni wazi kwamba presha kama hizi, zinazoendeshwa kwa misingi ya kisiasa na propaganda, zinalenga kuyumbisha nchi zinazoendelea ili zifuate matakwa ya nje bila kuzingatia uhalisia wa ndani na uhuru wa kikatiba. Tanzania ina haki kamili ya kulinda amani, umoja na utulivu wake, na misingi hii haipaswi kutishiwa na mashinikizo kutoka nje yenye misingi ya kisiasa au maslahi binafsi.
Swali lako nimekujibu, nawewe jibu swali hapoSasa kama hivyo ndivyo mbona wenye pesa zao wakikufatilia una BINUA KIUNO na kunengua kama bi hadija kopa aliwa chimwaga? Kwenye vikao vya maamuzi va ccm?
H
Kuna Sheria hapa au ni upuuzi TU? Mpaka leo upelelezi haujakamilika!Kumekuwa na mijadala mikubwa kufuatia kauli zilizotolewa ndani ya Bunge la Umoja wa Ulaya (EU), zikilenga kuishinikiza Tanzania kuhusu masuala ya siasa za ndani, hasa yanayohusishwa na mwanasiasa Tundu Lissu. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo yanapaswa kuwekwa sawa ili kuepuka taswira potofu kuhusu Tanzania na misingi yake ya kikatiba.
Kwanza, ni vyema kukumbuka kwamba Tanzania ni nchi yenye mamlaka kamili ya kufanya maamuzi yake kama taifa huru (sovereign state). Hii ni misingi ya msingi katika mahusiano ya kimataifa – kila nchi ina haki ya kujiamulia mambo yake ya ndani bila kuingiliwa.
Aidha, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi kabisa katika kulinda amani, umoja na utulivu wa nchi. Inapinga vikali vitendo vyovyote vya uvunjifu wa sheria, hasa vinavyoweza kuchochea wananchi kuasi au kuichukia serikali yao. Sheria za nchi hazipo kwa ajili ya kuvunja demokrasia, bali kulinda utulivu wa kitaifa unaowawezesha wananchi wote kuishi kwa amani bila woga.
Kuhusu hoja za uchaguzi na ushiriki wa EU kama waangalizi, ukweli ni kwamba Umoja wa Ulaya haukutimiza matakwa ya kisheria yaliyowekwa na Tanzania. Walikataa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi — nyaraka muhimu zinazotoa uhalali wa kisheria kwa taasisi za nje kushiriki kama waangalizi. Hatua yao ya kujitoa ilitokana na maamuzi yao wenyewe. Hivyo basi, kutoshiriki kwao hakukuathiri kwa namna yoyote uhalali wa mchakato wa uchaguzi uliofanyika kwa mujibu wa Katiba na sheria za Tanzania.
Hivi karibuni, akizungumza mbele ya Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya, Mbunge Michael Gahler aliomba bunge hilo lizingatie kuzinyima misaada nchi za Afrika ambazo, kwa mtazamo wake, “zinazuia wapinzani kushiriki kwenye uchaguzi” hadi pale hali hiyo itakaporekebishwa. Pia alitoa hoja kwamba EU mara nyingi haioni haja ya kutuma waangalizi wa uchaguzi katika nchi fulani kwa sababu, kwa maneno yake, “wanajua tayari matokeo yatakuwaje.”
Lakini hapa ndipo hoja ya msingi inapojitokeza: je, ni sawa kutumia misaada kama silaha ya kisiasa ili kuingilia maamuzi ya kisheria na kikatiba ya nchi huru? Na je, hoja kwamba kutotumwa kwa waangalizi kunamaanisha uchaguzi si huru, inasimama kweli wakati ni EU wenyewe waliokataa kutimiza taratibu za msingi zilizowapa nafasi ya kushiriki?
Ni wazi kwamba presha kama hizi, zinazoendeshwa kwa misingi ya kisiasa na propaganda, zinalenga kuyumbisha nchi zinazoendelea ili zifuate matakwa ya nje bila kuzingatia uhalisia wa ndani na uhuru wa kikatiba. Tanzania ina haki kamili ya kulinda amani, umoja na utulivu wake, na misingi hii haipaswi kutishiwa na mashinikizo kutoka nje yenye misingi ya kisiasa au maslahi binafsi.
Sasa wewe press ya Gwajima nayo ni press? Si bora angekaa kimya tu maana hamna la maana aliloongea zaidi ya kujiumauma tu.Kamjibu gwajima kule mchelengwa mkwe mtiifu
Mambo yanaendeshwa kwa sheria na Tanzania inazingatia hilo. Msitake serikali iendeshwe kiholea, tulia sheria ifanye kazi.Kuna Sheria hapa au ni upuuzi TU? Mpaka leo upelelezi haujakamilika!
Poa hatuombi, na Tanzania itazidi kuwa imara sababu Rais Samia Suluhu Hassan yupo kazini.bora waombe poo mapema kabla ya vikwazo, tafadhali.
Oktoba Tunatiki kwa Samia. Imeisha hiyoPeleka kisi..mi chako kule ...pumbavu
Nyie ndio wale mnaugua ugonjwa wa kukosa maarifa. Ulaya hawana mamlaka ya kuingia mambo yetu ya ndani eti kwa kigezo cha misaada. Kuna sheria ya kila kitu sasa wao wameshindwa kutimiza sasa hivi wanakuja kupiga kelele na huyo chiba wao. Waambie kwamba Tanzania haiwezi kuyumbishwa sabab mama yuko kazini.wewe ni mpumbavu sana, na aina ya watu kama wewe ndio wanampotosha rais. ulaya wakiamua kuziba pua yako hao hutakuwa na hata mtandao huo, nchi yako iliyo huru haija invent chochote, tunadepend ulaya kwakila kitu. export na imports tunawahitaji, hata meli za kuleta bidhaa tu hapa nchi hii haina hat amoja, dola, uwekezaji kila kitu. kwa kifupi wakiamua kutushughulikia, nchi hii imekwisha. mjinga mkubwa wewe.
Sawa mkwe wa mamaSasa wewe press ya Gwajima nayo ni press? Si bora angekaa kimya tu maana hamna la maana aliloongea zaidi ya kujiumauma tu.
Kisim chako kitatikiOktoba Tunatiki kwa Samia. Imeisha hiyo
FactosKumekuwa na mijadala mikubwa kufuatia kauli zilizotolewa ndani ya Bunge la Umoja wa Ulaya (EU), zikilenga kuishinikiza Tanzania kuhusu masuala ya siasa za ndani, hasa yanayohusishwa na mwanasiasa Tundu Lissu. Hata hivyo, kuna mambo muhimu ambayo yanapaswa kuwekwa sawa ili kuepuka taswira potofu kuhusu Tanzania na misingi yake ya kikatiba.
Kwanza, ni vyema kukumbuka kwamba Tanzania ni nchi yenye mamlaka kamili ya kufanya maamuzi yake kama taifa huru (sovereign state). Hii ni misingi ya msingi katika mahusiano ya kimataifa – kila nchi ina haki ya kujiamulia mambo yake ya ndani bila kuingiliwa.
Aidha, Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi kabisa katika kulinda amani, umoja na utulivu wa nchi. Inapinga vikali vitendo vyovyote vya uvunjifu wa sheria, hasa vinavyoweza kuchochea wananchi kuasi au kuichukia serikali yao. Sheria za nchi hazipo kwa ajili ya kuvunja demokrasia, bali kulinda utulivu wa kitaifa unaowawezesha wananchi wote kuishi kwa amani bila woga.
Kuhusu hoja za uchaguzi na ushiriki wa EU kama waangalizi, ukweli ni kwamba Umoja wa Ulaya haukutimiza matakwa ya kisheria yaliyowekwa na Tanzania. Walikataa kusaini Kanuni za Maadili ya Uchaguzi — nyaraka muhimu zinazotoa uhalali wa kisheria kwa taasisi za nje kushiriki kama waangalizi. Hatua yao ya kujitoa ilitokana na maamuzi yao wenyewe. Hivyo basi, kutoshiriki kwao hakukuathiri kwa namna yoyote uhalali wa mchakato wa uchaguzi uliofanyika kwa mujibu wa Katiba na sheria za Tanzania.
Hivi karibuni, akizungumza mbele ya Kamati ya Haki za Binadamu ya Bunge la Ulaya, Mbunge Michael Gahler aliomba bunge hilo lizingatie kuzinyima misaada nchi za Afrika ambazo, kwa mtazamo wake, “zinazuia wapinzani kushiriki kwenye uchaguzi” hadi pale hali hiyo itakaporekebishwa. Pia alitoa hoja kwamba EU mara nyingi haioni haja ya kutuma waangalizi wa uchaguzi katika nchi fulani kwa sababu, kwa maneno yake, “wanajua tayari matokeo yatakuwaje.”
Lakini hapa ndipo hoja ya msingi inapojitokeza: je, ni sawa kutumia misaada kama silaha ya kisiasa ili kuingilia maamuzi ya kisheria na kikatiba ya nchi huru? Na je, hoja kwamba kutotumwa kwa waangalizi kunamaanisha uchaguzi si huru, inasimama kweli wakati ni EU wenyewe waliokataa kutimiza taratibu za msingi zilizowapa nafasi ya kushiriki?
Ni wazi kwamba presha kama hizi, zinazoendeshwa kwa misingi ya kisiasa na propaganda, zinalenga kuyumbisha nchi zinazoendelea ili zifuate matakwa ya nje bila kuzingatia uhalisia wa ndani na uhuru wa kikatiba. Tanzania ina haki kamili ya kulinda amani, umoja na utulivu wake, na misingi hii haipaswi kutishiwa na mashinikizo kutoka nje yenye misingi ya kisiasa au maslahi binafsi.
Ni dhahiri kwamba Gwajima na ile press yake amekurupuka, kama angekuwa na akili angefuatilia taarifa iliyotolewa na polisi chanzo cha watu kupotea na kuuawa. Kama ameweza kufatilia taarifa nyingine basi akasome na ile ndio aje tena kuzungumza aseme chanzo ni nini maana taarifa ya polisi imeeleza vyema.Amani ipi hiyo kubwa jinga la mama?
Umesikiliza press hiyo?
Namba zinazidi kuongezeka kutoka 83-93 na hapo ni known cases je unknown cases ni ngapi?
Hadi atekwe mumeo ndio utajua kuna hatari?
Cha mama yako pia.Kisim chako kitatiki
Sawa kunguniChawa mwingine kwenye moja na mbili
Endelea kujidanya mwayaHaki kwanza amani baadae
KinakuwashaCha mama yako pia.
Wewe ndio umekurupuka , polisi walipotoa ripoti ya matukio ya watu kupotea June 18 mwaka huu katika ukurasa wao wa X wametoa matukio hadi ya 2019Ni dhahiri kwamba Gwajima na ile press yake amekurupuka, kama angekuwa na akili angefuatilia taarifa iliyotolewa na polisi chanzo cha watu kupotea na kuuawa.
Afutilie taarifa gani wewe, hivi unaelewa hata unachoandika hapa au ni hivyo vipesa vya damu hivyo ndio vinakutoa utu?Kama ameweza kufatilia taarifa nyingine basi akasome na ile ndio aje tena kuzungumza aseme chanzo ni nini maana taarifa ya polisi imeeleza vyema.
Tutatumia za ndaniHawatoi pesa ng'ooo wala hawajamtisha mtu pambaneni na hali yenu.