Sheria za Tanzania zinaruhusu wateule wa Rais kufikishwa mahakamani bila kutenguliwa au ridhaa yake?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ?

Tofauti na ma DED Kuna mteule yoyote wa Rais katika nafasi za juu aliwahi kufikishwa mahakamani akiwa bado katika mamlaka yake?
 
Mm naona n sahihi, kuhukumiwa kwa kutumia neno mkuu wa idara ya ....... haina afya kama atahukumiwa kwa neno aliyekuwa mkuu wa idara ya ......
 
Kwa sheria tulizo nazo inawezekana RC, Waziri, DC, Katibu mkuu au Mkurugenzi wa shirika kukamatwa na kufukishwa mahakamani kwa tuhuma yoyote bila kutenguliwa au ridhaa ya mamlaka yake ya uteuzi ?

Tofauti na ma DED Kuna mteule yoyote wa Rais katika nafasi za juu aliwahi kufikishwa mahakamani akiwa bado katika mamlaka yake?
DED wa Arusha alitoka kwa sababu hiyo uteuzi wake haukutenguliwa, kesi nyingi za wateule wa Rais huwa ni maigizo na siasa pekee kuwapumbaza wananchi na siyo real
 
Back
Top Bottom