MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,363
- Thread starter
-
- #101
Kama wenzetu wamefunga mifumo ya kuweka kumbukumbu za kila tukio ktk mechi.Hivi rekodi zinatunzwa na klabu au chama cha soka? Je wakati wa mechi ni afisa gani wa klabu anayerekodi kadi za wachezaji na kuhesabu zimefika ngapi?
Tuache ujinga na uzamani. Chama cha soka kinachoendesha ligi ndio kinatakiwa kufanya hii kazi baada ya kupata repoti za waamuzi halafu kinazitaarifu klabu kuhusu eligibility ya wachezaji. Opta kule Ulaya ana kumbukumbu ya kila mchezo na kila tukio hadi faulo zilizofanyika. Sisi manyani tunashindwaje kutunza kumbukumbu rahisi kama kadi. Yule mhaya wa TFF ni wa hovyo kabisa hafai kuongoza hata familia, ndio maana binti yake ana....
Sisi tunashindwa nini kufanya hivyo na kila siku Viongozi wanaenda huko,net wanazo,Ofisi wanazo,computer wanazo vijana wa IT wamejaa tele.
Sijui tulaaniwa na nani??
Na ndiyo maana Rais alisimamisha safari za nje kwa Viongozi wa Serikali kwasababu hakuna mabadiliko hata wakirudi.