Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
Mkuu lazima waweke adhabu kali ili timu ziwe makini. Hakuna adhabu inayovuka kunyang'anywa points huku ukiwa umeshinda. Ukisema tuiadhibu timu na matokeo yabaki vile vile timu zitakua zinachezesha tu wachezaji walio na kadi 3 na kusubiri hiyo adhabu unayoikusudia. Siungi mkono timu kuvunja sheria.Matusi yanatoka yapi tena ndugu, haya mambo ya timu kupewa point za mezani si ya kuendeleza soka hapa nchini.
Timu ziadhibiwe kwa makosa yao lakini matokeo ya mechi yabaki kama yalivyo.
Sasa ndugu kutoa tu comment basi imekuwa nongwe ndiyo matusi tu mmmh.
Btw achana nae huyo mduanzi wa matusi. Usimpe kiki asubuh asubuh kiki kwa Yesu tu leo kafufuka.