Mandakakawa
Senior Member
- Mar 29, 2017
- 113
- 56
Mkuu naomba ku "declare interest" kuwa mimi ni mshabiki wa Simba
-ila naomba uniambie kuwa tatizo la ile kamati ya saa 72 ni nini?
-na pia niambie kama hizi sheria zimepitwa na wakati tufwate sheria zipi??(kwa makosa ya timu kutotunza rekodi)
Haya mengine yanayotokea ni show off tu za watu. Ligi yetu mbovu na imejaa ushabiki
Poleni yanga imekula kipande yenu wakati huu
Tatizo kubwa kwa kamati 72 kwnn hawakutoa maamuzi day one? Wanataka kutuaminisha siku hawakuwa na information za kutosha? Kama hawakuwa na taarifa za kutosha kwanini walikaa?
Maamuzi Yao yana ukakasi hata kama ni kweli na kweli alikuwa na kadi tatu waweke ushaidi mezani yaishe naamini AzamTV wana record mechi zote
Tufanye maamuzi kidigitali Dunia imesogea