Sheria za TFF zisingegusa matokea ya mchezo uliokatiwa rufaa

Sheria za TFF zisingegusa matokea ya mchezo uliokatiwa rufaa

Mkuu naomba ku "declare interest" kuwa mimi ni mshabiki wa Simba
-ila naomba uniambie kuwa tatizo la ile kamati ya saa 72 ni nini?
-na pia niambie kama hizi sheria zimepitwa na wakati tufwate sheria zipi??(kwa makosa ya timu kutotunza rekodi)

Haya mengine yanayotokea ni show off tu za watu. Ligi yetu mbovu na imejaa ushabiki
Poleni yanga imekula kipande yenu wakati huu
Kwa haya ya mezani, kweli pole inatuhusu, maana hatuna uwezo na uzoefu nayo...asante. Lakini ya uwanjani, tutapambana. Tunamuomba Mungu Toto Africa awe hajachezesha mchezaji mwenye kadi tatu za blue ili mpira uendelee kuchezwa uwanjani
 
Yote haya yamekuja baada ya simba kushinda hiyo rufaaa pia ukisema hivyo hakuna haja ya kuwa na kadi uwanjani maana yake mtu akipewa nyekundu na ni mchezaji muhimu timu husika itamchezesha tu si hakutakuwa na muingiliano wowote mbona simba mwaka 2006 tulikubali kutoa pointi vipi timu nyingine haya maamuzi ya jamali malinzi na huyu mwesigwa ya kinges kabsa yani inakera kweli eti wanaitisha kikao cha kikuda kisa yanga wamelalamika ovyo yanatia hasira sana
 
Kwakuwa ndo zilizopo sasa hivi acha tuzifate tu hatuna jinsi, ila ndo uweke alternative ya hii sheria iliyopo sasa hv sio kulaumu tu.
 
Mkuu naomba ku "declare interest" kuwa mimi ni mshabiki wa Simba
-ila naomba uniambie kuwa tatizo la ile kamati ya saa 72 ni nini?
-na pia niambie kama hizi sheria zimepitwa na wakati tufwate sheria zipi??(kwa makosa ya timu kutotunza rekodi)

Haya mengine yanayotokea ni show off tu za watu. Ligi yetu mbovu na imejaa ushabiki
Poleni yanga imekula kipande yenu wakati huu
uliona wapi matokeo ya uwanjani yakabadilishwa ktk nchi zilizoendelea?hiyo kamati PIA makandokando mengi Tu kumbukumbu za mechi zinahifadhiwa bodi ya ligi waamuzi waliitwa kufanya nn kama sio mianya ya rushwa Tu?
 
Hii ni kwa wazungu unaowaamini usidhani simba kabebwa sheria zipo wazi na ni sheria za Fifa kama huna fact kaa kimya.
Ukichezesha mchezaji ineligible unaadhibiwa.
Screenshot_2017-04-17-21-52-38.png
 
Haya mambo ya Timu kunyang'anywa point kiukweli si mazuri.

Sheria ziangalie makosa yaliyojitokeza na kutoka adhabu lakini matokeo ya uwanjani yabaki kama yalivyo.

Kiukweli timu kupewa pointi za mezani ni kizamani sana

Sheria ziangaliwe upya kwa TFF
Inaonekana wewe ni mwelewa sana, Kawaambie FIFA wafute. Unajua FIFA na CAF ni vilaza sana
 
Hii ni kwa wazungu unaowaamini usidhani simba kabebwa sheria zipo wazi na ni sheria za Fifa kama huna fact kaa kimya.
Ukichezesha mchezaji ineligible unaadhibiwa.
View attachment 497561
Lugha kwako ni tatizo Sana.... Wapi wamefuta ushindi wa Madrid!!!?? Ushindi upo palepale ila timu ndio ilitolewa kwenye mashindano kwa kukiuka Kanuni.... Serengeti boys wamefuzu LAKINI matokeo yamebaki yaleyale.... Naona mnachanganya madesa
 
Mi naona wote tunaobishana na MLAU tutaonekana hatujui jamaa anaumia kisa ni simba mbona yanga walipewa hakulalama? anaelewa ila anajifanya mjuaji....
 
Hata kwa azam ilikuwa ni makosa pia kupewa Yanga hizo point

Ushindi wa mezani haufai kabisa.
Mbona Yanga hamkuandamana kama mnavyoandama kwa Simba? mi huwa nawadharau watz kitu kama kinafaidisha anapiga kimya hata kama si halali ila kama hakimfaidishi makelele kibao. teh he he he!!! hi ndo nchi ya Wabongo.
 
Alitolewa ok. Na vp opponent wake, alipewa points 3 + magoli ma3, labda?
kama timu ilofungwa imesonga mbele hivi imepewa nini ? mbona mnajitoa ufahamu Congo, Madrid wameshinda lakini wamenyang'anywa ushindi siyo pointi za mezani hizo hivi mnataka mueleweshweje,? otherwise mchezaji hana kadi tatu hapo sawa.
 
Hivi simba angeshinda angekata rufaaa dhidi ya kagera alafu ile mechi azam awakuonesha live ndio jamaa wanaingangania hiyo hiyo any way chukueni hizo point tukutane kwenye magori
 
Hivi simba angeshinda angekata rufaaa dhidi ya kagera alafu ile mechi azam awakuonesha live ndio jamaa wanaingangania hiyo hiyo any way chukueni hizo point tukutane kwenye magori
Hapo sasa ......
 
Mbona Yanga hamkuandamana kama mnavyoandama kwa Simba? mi huwa nawadharau watz kitu kama kinafaidisha anapiga kimya hata kama si halali ila kama hakimfaidishi makelele kibao. teh he he he!!! hi ndo nchi ya Wabongo.
Maandamano ktk michezo itakuwa mazito hayo.....
 
Maandamano ktk michezo itakuwa mazito hayo.....
Nimependa kwamba unakuwa jasiri kusimamia hoja hata kama si kweli naamini umejifunza mengi kupitia Uzi huu big-up mtani wangu tukosoane ili tujenge soka letu ila point ni za MSIMBAZI tu.
 
Haya mambo ya Timu kunyang'anywa point kiukweli si mazuri.

Sheria ziangalie makosa yaliyojitokeza na kutoka adhabu lakini matokeo ya uwanjani yabaki kama yalivyo.

Kiukweli timu kupewa pointi za mezani ni kizamani sana

Sheria ziangaliwe upya kwa TFF
Hahahaaa. Mue mnajaribu basi kufatilia mpira wenyewe. Nyie mnazungumza tu kutokana na hisia zenu. Timu kubwa kama real Madrid msimu uliopita sio tu kunyang'anywa ushindi bali waliondolewa kabisa mashindanoni kwenye kombe la mfalme kwa kosa kama hili hili, ijekua kagera sugar 🙂)
 
Ni kweli kabisa mkuu. FIFA ilishaacha kutoa adhabu za kulipa faini ya pesa baada ya kuona hilo haliviumizi vilabu kwani vilabu ni tajiri sana na badala yake wakaanza kutoa adhabu ambazo kwa namna moja ama nyingine zitaathiri matokeo ya timu.

Pia katika swala la point za mezani, FIFA hawatoi point za mezani katika mashindano yao na ikitokea kuna udanganyifu basi timu iliyofanya udanganyifu huondolewa mashindanoni moja kwa moja. Adhabu hii kidogo huifanya timu ziwe makini na kuweka rekodi za mienendo ya adhabu za wachezaji katika timu zao.

Mwisho, siilaumu TFF kuwapa point simba, nawalaumu kagera kwa kutokua makini na wachezaji wao, kwa mfano; katika ligi za ulaya ukipata kadi nyekundu (Au njano 5 katika nusu 1 ya msimu) katika mchezo wa FA, basi kadi ile utaitumikia hata kwenye michezo ya ligi kwani nayo pia ipo chini ya chama kile kile cha soka cha FA.
...Nawasilisha...
Hivi rekodi zinatunzwa na klabu au chama cha soka? Je wakati wa mechi ni afisa gani wa klabu anayerekodi kadi za wachezaji na kuhesabu zimefika ngapi?

Tuache ujinga na uzamani. Chama cha soka kinachoendesha ligi ndio kinatakiwa kufanya hii kazi baada ya kupata repoti za waamuzi halafu kinazitaarifu klabu kuhusu eligibility ya wachezaji. Opta kule Ulaya ana kumbukumbu ya kila mchezo na kila tukio hadi faulo zilizofanyika. Sisi manyani tunashindwaje kutunza kumbukumbu rahisi kama kadi. Yule mhaya wa TFF ni wa hovyo kabisa hafai kuongoza hata familia, ndio maana binti yake ana....
 
Hahahaaa. Mue mnajaribu basi kufatilia mpira wenyewe. Nyie mnazungumza tu kutokana na hisia zenu. Timu kubwa kama real Madrid msimu uliopita sio tu kunyang'anywa ushindi bali waliondolewa kabisa mashindanoni kwenye kombe la mfalme kwa kosa kama hili hili, ijekua kagera sugar 🙂)
Tumecheza sana sio kuufuatilia tu.Hata FIFA hawapendi point za mezani na ndiyo maana pre match meeting walishasema status za timu zitolewe ktk kikao hicho.

Kwa maana ya kila taarifa ya mchezaji mmoja mmoja ifahamike
 
Back
Top Bottom