Sheria za Tozo

Sheria za Tozo

Ms Billionaire

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2020
Posts
2,452
Reaction score
4,955
Hivi sheria za tozo mpya kila siku nani anatunga? Wabunge wanachojua wao ni kupandisha bei za vitu na kutupa maisha magumu kila
Siku. Nani ataliongelea hili. Mtu ana mshahara wa millioni 11 kwa mwezi ila hatusikii wao wakikatwa. Kodi za nyumba zao zinalipwa na serikali, mafuta kwenye magari yao hata hawajui ni bei gani. Maisha yanazidi kupanda na tumekaa kimya. Ifike mahala wabunge nao wakatwe hata milioni tatu kwa mwezi twende sawa.
 
Back
Top Bottom