Sheria zinatungwa na Mungu tumeumbwa kuzifata, Wakristo tukemee viongozi wanaoridhiana na LGBTQ bila kujali ukubwa wao, Mungu habadilishiwi sheria

Sheria zinatungwa na Mungu tumeumbwa kuzifata, Wakristo tukemee viongozi wanaoridhiana na LGBTQ bila kujali ukubwa wao, Mungu habadilishiwi sheria

Abeeeeeeeeeeeh!!!

Tatizo mie hoja au pingamizi za mapenzi ya jinsia 1, zikitolewa kwa kigezo cha Dini, automatically nakua nje ya majadiliano.

Mie sio mfia dini, ko kwa hapa nawatazama wafia dini wapambane wenyeweee.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afadhali umeitika, maana kuna time hua nakumiss tu....😜
 
Wakristo ni mizinguo sana aisee, sijui wanatumia kitabu gani kuhalalisha huo ufuska.
Nje ya Biblia Hakuna Ukristo.
Pana Mkristo na makiristo hizi ni concept mbili tofauti.
Mkristo ni yule anaefata maandiko na makiristo ni wale wanaofata mafundisho ya wanadamu
 
Kwa maelezo ya papa kwamba sio kosa ni dhambi ,na kwamaazimio ya Anglikana pale London mungu kijinsia haeleweki. Kwakweli Dunia imefeli pahala. Lea familia Yako Kwa uangalifu, kwa haya yanatuonesha TAIFA la marekani ni mpango wa Dunia na sio marekani pekee
Hao ni viongozi wa dini na dini ni mpango wa Mwanadamu kumtafuta MUNGU na sio mpango wa Mungu.
Kanisa ni mwili na sio jengo, jengo ni hema KWA ajili ya watu wenye imani moja kukutana tofauti ya kutoyaelewa maandiko ndio uleta tofauti ya madhehebu.
Dini au kiongozi wa dini kuunga juhudi ushoga na utoaji mimba hapa atumii maandiko bali anatumia utashi. Utashi ni uasi dhidi ya sheria za MUNGU.
Mungu kampa mwanadamu utaratibu wa kufuata Ili aishi vyema.
 
Chukulua mfano huko nyuma kanisa katoliki lilikuwa linaungamisha dhambi kwa pesa
Hapo mwanzo ilikua marufuku kubadirisha lugha au kufanya tafasiri ya Bible ambayo iliandikwa kwa Kilatini, na mpaka kesho huko Roma Bible inasaliwa kwa Kilatini, wengi waliuawa kwa kujaribu kutafasiri Bible kuzipeleka katika lugha zingine, sasa kuna Bible mpaka za Kiarabu huko Oman na Sharjah mpaka Pakstan wanasoma Bible, lakini enzi hizo ukibainika unabadirisha lugha ya Bible adhabu ilikua ni kufa kwa kuchomwa Moto, wengi wameuawa kwa kufanya kosa hilo, basi miaka ikapita akaja Papa mmoja akaondoka Hilo katazo Ila km asingeondoa Hilo katazo mpaka hii Leo makanisa ya Roman Catholic yangekua yanasalishwa kwa Kilatini, baada ya kumruhusu ndio yakaanza na haya Mambo mengine kujipenyeza mpaka likafika la ushoga na kumfikia Papa naye papa akaleta huruma kwa binadamu bila kutambua kuna jamaa huku msituni hawazijui hizo Mambo ni abomination
 
Na je Papa ni nani Kati ya hao?
Papa kama cheo au papa huyu wa sasa.
Yule aliekufa majuzi yeye ni Mkristo KWA maana alipinga kama nafasi yake kumkosea MUNGU wake kwa kutokubaliana na matakwa ya shetan kanisa kumilikiwa na shetani, thus alizugia shida ya kiafya Ili apate chance ya kujiuzuru lakini key points hakutaka mipango ya dunia iingie kanisani, wazee wa suti nyeusi ni wakuu wa Dunia, Wana uwezo hata wa kutoa uhai wa yeyeto, akaona bora akae pembeni kuliko kumkufuru Mungu wake.
Huyu wa SAsa ni makiristo KWA maana yeye anasapoti ushoga na pia utoaji mimba akipingana na maandiko ya Biblia, kwa matakwa ya kibinadamu.
 
Kwa hio huyu Papa mizinguo na hakuna wa kumfanya kitu? Ila kwa kua Wakatoriki ndio wenye funguo za dunia (usibishe) basi sawa Ila Papa hajafanya sahihi
 
Kwa hio huyu Papa mizinguo na hakuna wa kumfanya kitu? Ila kwa kua Wakatoriki ndio wenye funguo za dunia (usibishe) basi sawa Ila Papa hajafanya sahihi
Kama muumini akili kichwani mwako,ufuate maandiko au maagizo.
 
Kama muumini akili kichwani mwako,ufuate maandiko au maagizo.
Yeye kafuata maagizo anaogopa kufa, maana ukienda kinyume nap wazee wa black suit wanakupiga na chemical faster wanaweka kupe wao
 
Papa kaogopa kuuwawa so ni lazima akubaliane na matakwa ya wazee wa suti
 
Wakristo ni mizinguo sana aisee, sijui wanatumia kitabu gani kuhalalisha huo ufuska.
Usiwaseme wa kristo ,ushoga ni michezo ya waarabu,sema wanafanya sirisiri sana,wazungu kinachowaponza wako openly sana,we unataka kusema hakuna muhindi ,mchina,mjapani,msomali shoga? Wapo ila sheria zinawabana kujitangaza,angalia mapunga ya hapa kwetu na majina yao,
 
Ushawahi kuona shekhe anafungisha ndoa ya jinsia moja??
Ila bila shaka umeshaona baadhi ya makanisa yakifanya hivyo.

Hata kama wanafanya sana lakini hawana mzaha kwenye dini yao.
 
Back
Top Bottom