Abeeeeeeeeeeeh!!!
Akikujibu hapa nitag.Wewe huna/ hutendi dhambi, na je huendi nyumba za ibada? Jibu lako ni muhimu!
Afadhali umeitika, maana kuna time hua nakumiss tu....😜Abeeeeeeeeeeeh!!!
Tatizo mie hoja au pingamizi za mapenzi ya jinsia 1, zikitolewa kwa kigezo cha Dini, automatically nakua nje ya majadiliano.
Mie sio mfia dini, ko kwa hapa nawatazama wafia dini wapambane wenyeweee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nje ya Biblia Hakuna Ukristo.Wakristo ni mizinguo sana aisee, sijui wanatumia kitabu gani kuhalalisha huo ufuska.
Unamzungumzia nabii Tito?Wakristo ni mizinguo sana aisee, sijui wanatumia kitabu gani kuhalalisha huo ufuska.
Na je Papa ni nani Kati ya hao?Mkristo ni yule anaefata maandiko na makiristo ni wale wanaofata mafundisho ya wanadamu
Hao ni viongozi wa dini na dini ni mpango wa Mwanadamu kumtafuta MUNGU na sio mpango wa Mungu.Kwa maelezo ya papa kwamba sio kosa ni dhambi ,na kwamaazimio ya Anglikana pale London mungu kijinsia haeleweki. Kwakweli Dunia imefeli pahala. Lea familia Yako Kwa uangalifu, kwa haya yanatuonesha TAIFA la marekani ni mpango wa Dunia na sio marekani pekee
Hapo mwanzo ilikua marufuku kubadirisha lugha au kufanya tafasiri ya Bible ambayo iliandikwa kwa Kilatini, na mpaka kesho huko Roma Bible inasaliwa kwa Kilatini, wengi waliuawa kwa kujaribu kutafasiri Bible kuzipeleka katika lugha zingine, sasa kuna Bible mpaka za Kiarabu huko Oman na Sharjah mpaka Pakstan wanasoma Bible, lakini enzi hizo ukibainika unabadirisha lugha ya Bible adhabu ilikua ni kufa kwa kuchomwa Moto, wengi wameuawa kwa kufanya kosa hilo, basi miaka ikapita akaja Papa mmoja akaondoka Hilo katazo Ila km asingeondoa Hilo katazo mpaka hii Leo makanisa ya Roman Catholic yangekua yanasalishwa kwa Kilatini, baada ya kumruhusu ndio yakaanza na haya Mambo mengine kujipenyeza mpaka likafika la ushoga na kumfikia Papa naye papa akaleta huruma kwa binadamu bila kutambua kuna jamaa huku msituni hawazijui hizo Mambo ni abominationChukulua mfano huko nyuma kanisa katoliki lilikuwa linaungamisha dhambi kwa pesa
Papa kama cheo au papa huyu wa sasa.Na je Papa ni nani Kati ya hao?
Kwa hio huyu Papa mizinguo na hakuna wa kumfanya kitu? Ila kwa kua Wakatoriki ndio wenye funguo za dunia (usibishe) basi sawa Ila Papa hajafanya sahihiPapa kama cheo au papa huyu wa sasa.
Yule aliekufa majuzi yeye ni Mkristo KWA maana alipinga kama nafasi yake kumkosea MUNGU wake kwa kutokubaliana na matakwa ya shetan kanisa kumilikiwa na shetani, thus alizugia shida ya kiafya Ili apate chance ya kujiuzuru lakini key points hakutaka mipango ya dunia iingie kanisani, wazee wa suti nyeusi ni wakuu wa Dunia, Wana uwezo hata wa kutoa uhai wa yeyeto, akaona bora akae pembeni kuliko kumkufuru Mungu wake.
Huyu wa SAsa ni makiristo KWA maana yeye anasapoti ushoga na pia utoaji mimba akipingana na maandiko ya Biblia, kwa matakwa ya kibinadamu.
Kama muumini akili kichwani mwako,ufuate maandiko au maagizo.Kwa hio huyu Papa mizinguo na hakuna wa kumfanya kitu? Ila kwa kua Wakatoriki ndio wenye funguo za dunia (usibishe) basi sawa Ila Papa hajafanya sahihi
Yeye kafuata maagizo anaogopa kufa, maana ukienda kinyume nap wazee wa black suit wanakupiga na chemical faster wanaweka kupe waoKama muumini akili kichwani mwako,ufuate maandiko au maagizo.
Usiwaseme wa kristo ,ushoga ni michezo ya waarabu,sema wanafanya sirisiri sana,wazungu kinachowaponza wako openly sana,we unataka kusema hakuna muhindi ,mchina,mjapani,msomali shoga? Wapo ila sheria zinawabana kujitangaza,angalia mapunga ya hapa kwetu na majina yao,Wakristo ni mizinguo sana aisee, sijui wanatumia kitabu gani kuhalalisha huo ufuska.
Ushawahi kuona shekhe anafungisha ndoa ya jinsia moja??Usiwaseme wa kristo ,ushoga ni michezo ya waarabu,sema wanafanya sirisiri sana,wazungu kinachowaponza wako openly sana,we unataka kusema hakuna muhindi ,mchina,mjapani,msomali shoga? Wapo ila sheria zinawabana kujitangaza,angalia mapunga ya hapa kwetu na majina yao,
Wote wanaofanya huo ujingaUnamzungumzia nabii Tito?