Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Naona binafsi sheria zimewekwa ili kutoa adhabu na siyo kurekebisha tabia,taasisi zinazoshughulika na taratibu zimekuwa zikitozq fedha pasipo kuangalia/kuweka misingi ya kutokomeza tatizo Mfano Trafik licha ya utozaji wa faini bado kuna ongezeko kubwa la ajali na makosa ya barabarani.
Naona ipo haja ya kuanzisha utaratibu mpya wa kutoa elimu,marekebisho ya sheria za faini na sheria za huduma husika ili kiendana na wakati pamoja kufikia lengo.
Naona ipo haja ya kuanzisha utaratibu mpya wa kutoa elimu,marekebisho ya sheria za faini na sheria za huduma husika ili kiendana na wakati pamoja kufikia lengo.