Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
kwahyo status ina matter kwenye sheriaKuna muda sheria zinafanya kazi kulingana na pesa ulizonazo
Sheria zimewekwa ili zivunjweKuna muda sheria zinafanya kazi kulingana na pesa ulizonazo
mmmmhSheria zimewekwa ili zivunjwe
Mfano?Sheria zimewekwa ili zisikilizwe, ila kuna mda Fulani huwa zinapindishwa kwa ajili ya maslah ya wananchi.
Uko sahihi. Bila uvunjaji wa sheria hakuna sheria na hakuna kosa. Magereza yasingekuwepo hapo police na traffic wote wasinvekuwepo.
Mfano, sheria inasema hili eneo ni kwa ajili ya hifadhi ya wanyama pori, lakini kama population ya watu itazidi kuongezeka eneo hilo, basi sheria inaweza kupindishwa kwa ajili ya maslah ya wananchiMfano?
Naona ipo haja ya kuanzisha utaratibu mpya wa kutoa elimu,marekebisho ya sheria za faini na sheria za huduma husika ili kiendana na wakati pamoja kufikia lengo.Naona binafsi sheria zimewekwa ili kutoa adhabu na siyo kurekebisha tabia,taasisi zinazoshughulika na taratibu zimekuwa zikitozq fedha pasipo kuangalia/kuweka misingi ya kutokomeza tatizo Mfano Trafik licha ya utozaji wa faini bado kuna ongezeko kubwa la ajali na makosa ya barabarani.
Naona ipo haja ya kuanzisha utaratibu mpya wa kutoa elimu,marekebisho ya sheria za faini na sheria za huduma husika ili kiendana na wakati pamoja kufikia lengo.