Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipatie contact zake tena huyu ndio mzuri hachoki hata mwende asali mwezi/honey moon ya mwezi yeye yuko fit tatizo kidogo kwenye ugomvi anaweza akanikaba ila anyway nitakomaa nae.
Shauri yako usije kuanza kuomba ushauri,nini cha kufanya hapo baadae.Maana huyu unaweza kumpa talaka na akaichana kisha akaendelea kukomaa na wewe.
Kweli kbs, tena anaweza kuimeza akanitwanga vichwa ila baadae mapenzi ni ya wawili tutaendelea tu.
Sawa mkuu ila kama unapenda sana vidosho inabidi uache,la sivyo kila siku tutakuwa tunakuja kukutizama Muhimbili.Pili inabidi uanze gym ili siku moja moja unajitutumua,au vipi!
1.Kwenye red wapwa watajibu.
2. Kwenye blue sipendi vidosho natafuta mchumba.
1.Kwenye red wapwa watajibu.
2. Kwenye blue sipendi vidosho natafuta mchumba.
1.Kwenye red wapwa watajibu.
2. Kwenye blue sipendi vidosho natafuta mchumba.
Shem Nguli,
Asha ngedere utamuweza kweli!?
1.Kwenye red wapwa watajibu.
2. Kwenye blue sipendi vidosho natafuta mchumba.
Contacts plz mbona unabana wewe uliye post? but hivi hana bsauti ya bezi huyu kweli?
Mpwa, huyu maeneo ya salasala wala haleti usumbufu. Hahahaha!
Akifumania nyumba ndgo huyu te te te! itakuwa "murder was the case" morning Bluray