Shetani amenijaribu Rasmi mniombee

Shetani amenijaribu Rasmi mniombee

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
37,630
Reaction score
47,434
Wakuu hivi juzi nikataka na mimi nijaribu pigo za katibu mkuu wangu.

Ila sasa mimi sikutuma naniliu.

Nikaona niridhie mkutano na pisi moja hivi imesimama balaa.

Aisee kwanza alinipokea nikawa nasema tu OK 🆗. Sikujua kilichoendelea baada ya hapo mpaka kulikucha.

Nikaja kumbuka sikurudi kwa juniya wangu na juniya huwa nikirudi lazima anipokee sasa nahisi nilimhuzunisha mno.

Halafu jambo baya zaidi. Ni kuwa huku nako eeeh ni pata... mnooo .

Duuh.

Please pray for me guys, the devil is real.
 
We jisifie tu ila usije tu ukawa motivation speaker baadae..mara oo nawashauri vijana wenzangu sijui nini sijui nini
Ndio maana nimetanguliza ombi la maombi.
 
Ushasema ni patamu mno.
Huchomoi hapo utarudia tu , hata maombi yetu hayatasaidia
Duuh zile zilikua nguvu za giza.

Maana nilikamatwa ..

Then network ikakata
 
Ndio maana nimetanguliza ombi la maombi.
Maombi ya nini!!?hiyo ni.nature ya kiume mkuu!!

Tatizo ni pale unapotaka ku outsmart hata manabii na mitume plus wafalme ambao waliongea na mungu Moja Kwa moja!na wao walikua na mke zaidi ya mmoja!!

Siku wake zetu wakianza kututongozea wanawake tunaowatamani ndoa zitadumu sana!
 
Maombi ya nini!!?hiyo ni.nature ya kiume mkuu!!

Tatizo ni pale unapotaka ku outsmart hata manabii na mitume plus wafalme ambao waliongea na mungu Moja Kwa moja!na wao walikua na make zaidi ya mmoja!!

Siku wake zetu wakianza kututongozea wanawake tunaowatamani ndoa zitadumu sana!
Mkuu hapa nahisi napotea.

Maana mhhh.

Kwanza ukitaka kuongea tu unanyamazishwa halafu unabakia tu mmmh mmh.

Sasaaaaa nahisi bila msaada mambo yataharibika ila kama ni kawaida basi yote heriiiii
 
Mkuu hapa nahisi napotea.

Maana mhhh.

Kwanza ukitaka kuongea tu unanyamazishwa halafu unabakia tu mmmh mmh.

Sasaaaaa nahisi bila msaada mambo yataharibika ila kama ni kawaida basi yote heriiiii
We tulia kama anapika kula,akikuongelesha ongea Wala usibabaike!!

Kuwa kawaida akinuna ongea na watoto kama unao!!

Weka akilini atalipiza kisasi tu Kwa vyovyote jiandae!!
 
We tulia kama anapika kula,akikuongelesha ongea Wala usibabaike!!

Kuwa kawaida akinuna ongea na watoto kama unao!!

Weka akilini atalipiza kisasi tu Kwa vyovyote jiandae!!
Kama vile ulikuwepo maana hiyo scene ya kuoga ilikuwepo.
 
Back
Top Bottom