Kwa uandishi huu unaonesha weye ni mchanga saana kwa mambo ya kiroho. Ati shukrani ziwaendee watumishi wa Kenya. Wewe ni muandishi au Katibu muhtasi wa Mungu hata useme ulipokuwa unayapokea maombi ulisikiliza kutoka Kenya tu?? Furushi kabisa. Halaf ati unamshauri akae mbali na mafisi yanayomtamani: Dawa ya majaribu sio kuyakimbia bali ni kuyakabili uso kwa uso bila kuogopa. Majaribu kwa mkristo ni mtaji. Mshauri kuwa asikumbwe tena na yale mambo ya kale. Amtumikie Mungu sio pesa kwani Mathayo 10 : 8 Pozeni wagonjwa, fufueni wafu, takaseni wenye ukoma, toeni pepo; mmepata bure, toeni bure.Ushauri kwa Rose kaa mbali na mafisi yanayokutamani kwani wewe umebeba maono ya watu wengi kupitia uimbaji wako.
Niwatakie wiki njema ya kwaresma kuelekea kufufuka kwa KRISTO
Mwambie, asiuze tena hiyo huduma alopewa na Mungu bali aone fahari kumwimbia Mungu kweny matamasha