Shetani amezoea kulaaniwa na haachi uovu wake; vivyo hivyo tunailaani CCM na haitaacha maovu na ukatili wake

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
Ifike mahala tuelewe kuwa hili dubwasha CCM limeishi kinafiki katika miaka yake ya ujana sasa limezeeka limegeuka kuwa shetani.

Wanafikia kumdhuru yeyote anayekinyooshea kidole kusimamia ukweli. Wakosoaji wamekuwa wakiokotwa aidha wametteswa au wameuawa.

CCM imemeza vyombo vyote vya Ulinzi na Usalama na sasa inavitumia kwenye siasa zake chafu.

Ripoti zote za CAG zinaelezea ufisadina uchezeaji wa Hazina ya Taifa na hakuna hatua zinazochukuliwa

Wananchi tunaishi kwa hofu kubwa ndani na nje ya nchi. CCM imepitisha sheria ya kuwashughulikia watanzania ndani na nje ya mipaka kupitia TISS. Pia imeweka kinga kwa maafisa wa TISS wasiwe na hatia wanapopewa amri ya kuua mtu yeyote.

Mnadhani kelele za kulaani zinamkosesha amani shetani? CCM imechukua nafasi hiyo kwa kutokana na kukubuhu kwake kwenye maovu, ukatili na vyanzo vya husda kwa wananchi

Chukua hatua
 
nonsense 🐒
 
Ccm sio chama cha siasa anymore , ni cartel (si ya madawa ya kulevya), cartel inayo jifanya ni chama cha siasa
 
Hilo dubwasha lilishapoteza sifa ya kuwa chama cha siasa tangu zamani, sasa hivi ni pure criminal enterprise.

CCM haiwezi kuacha ukatili kwa sababu violence and fear ndio nguzo pekee zilizowabakisha madarakani.
 
Back
Top Bottom