Mokaze
JF-Expert Member
- Aug 3, 2018
- 14,370
- 14,929
Hakuna sababu ya kubishana.Tusubiri,muda ndio utakuwa mwamuzi.
Ngoja nitakuletea jinsi Yesu mwenyewe alivyotanzua hiki kitendawili cha kurudi kwake mara ya pili, nitafafanua kulingana na kauli yake kutoka.ndani ya Bible.
Be patient.