Shetani baba wa Uongo

Shetani baba wa Uongo

raslimali

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2014
Posts
1,958
Reaction score
1,744
Uongo ule ule alioanza nao mwanzo kwa binadamu bado mpaka leo anaendelea nao. Funguo (the power/keys to the gates of the hell) alishanyang'anywa miaka zaidi ya 2000 iliyopita. Kichekesho kikubwa asilimia kubwa ya wahubiri siku hizi wanahubiri nguvu zake.

Fungulia redio za haya makanisa (aka makanisa ya kiroho) mida ya usiku utajionea hivyo vioja. Sijui kuvunja laana, madhabahu, viapo, laana za mababu, maagano. Wanahubiri nguvu za shetani tuna kumkemea usiku kucha. Hana lolote huyo.

Ni kukosa maarifa tu kunampa nguvu. Mambo ya kuchekesha kabisa. Ukiijua KWELI utawekwa huru na huo upumbavu.
 
Back
Top Bottom