Shetani hayupo , devil never exist

Shetani hayupo , devil never exist

Mungu niguse

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2024
Posts
272
Reaction score
729
Hii inaitwa "Enlightenment stage "Ambayo nimeifikia sasa.

Dunia ipo katika mfumo wa duality (uwili-uwili) kuwa there is God and devil Good and evil dark and light and etc

Sasa katika Ku-hold power mainly spiritual power ndo unagundua kuwa hauwezi kusema God exist and devil exist na hauwezi kumuabudu Mungu wakati huo huo you fight against shetani

Hapa ndo religious people utawaona wanasumbuliwa na mapepo , majini n.k kwakuwa wanapambana na kitu ambacho hakipo yaani wanagombana na adui wa kufikirika ambaye hayupo hivyo vita wanayoianzisha hawaijui na hawawezi kuishinda hivyo ile subconscious mind yao inakuwa imeingiziwa negative kubwa kuliko positive.

So if you real believe in God and you believe in goodness there is no any reason to fight against devil

So devil never exist.

Na Maisha ya binadamu Kwa kiwango kikubwa yapo katika subconscious mind yake

Kile unachoongea
Unachowaza
Unachosikiliza

Kina asilimia kubwa ya kukutengeneza wewe na kuwa sehemu ya maisha yako

So devil never exist because devil is imaginary enemy .
 
FB_IMG_17408339026653700.jpg
 
Bado unahitaji enlightenment zaidi na hakuna mwisho kwenye jambo hili. Umesema mwenyewe habari ya duality of things, sasa inakuwaje unasema Mungu yup lakini devil hayupo?

Ukiwaza kuwa wewe ni tajiri mkubwa hilo halikufanyi uwe tajiri hara kama utafanya hivyo miaka elfu moja. Devil in yule aliyeamua kufanya mabaya, na yupo kabisa, kama alivyo yule mtenda mema.
 
Nakupata
 
Kwa hiyo usifanye kosa la kufikiri kuwa shetani hayupo, yupo ila ni kweli kuna namna ya kuishi ukweli huu na ukienda kichwa kichwa utakwisha. Na kweli wapo wakristo wanateseka mno kwa kutojua namna ya kupambana na shetani. Ki uhalisia huwezi kupambana na shetani bila msaada wa Mungu Aliyemuumba huyo kiumbe aliyeasi. Watu wengi wamekufa na wengi wanateswa sana na shetani kama hawana maarifa ya Ki-Mungu na Nguvu Zake kumshinda Shetani.
 
Dunia ina elimu nyingi sana na kila mmoja ni sahihi kwa wakati huo kwa muhusika mwenyewe.
Huo uwili yaani positive energy na negative energy ndo huku kwenye Ukristo unaitwa Wema na Uovu.
So ni kitu moja.
Mungu na shetani hawaonekani physical Wala spiritual huwezi waona utaona malaika na majini hata hao Malaika na majini hawajawahi waona maboss zao.
Elimu zipo nyingi angalia usichanganyikiwe.
Mungu na shetani uonekane kupitia matendo yetu
 
You'll be an Atheist untill you're breathing in a life Machine.
 
Back
Top Bottom