Mungu niguse
JF-Expert Member
- Dec 19, 2024
- 272
- 729
Hii inaitwa "Enlightenment stage "Ambayo nimeifikia sasa.
Dunia ipo katika mfumo wa duality (uwili-uwili) kuwa there is God and devil Good and evil dark and light and etc
Sasa katika Ku-hold power mainly spiritual power ndo unagundua kuwa hauwezi kusema God exist and devil exist na hauwezi kumuabudu Mungu wakati huo huo you fight against shetani
Hapa ndo religious people utawaona wanasumbuliwa na mapepo , majini n.k kwakuwa wanapambana na kitu ambacho hakipo yaani wanagombana na adui wa kufikirika ambaye hayupo hivyo vita wanayoianzisha hawaijui na hawawezi kuishinda hivyo ile subconscious mind yao inakuwa imeingiziwa negative kubwa kuliko positive.
So if you real believe in God and you believe in goodness there is no any reason to fight against devil
So devil never exist.
Na Maisha ya binadamu Kwa kiwango kikubwa yapo katika subconscious mind yake
Kile unachoongea
Unachowaza
Unachosikiliza
Kina asilimia kubwa ya kukutengeneza wewe na kuwa sehemu ya maisha yako
So devil never exist because devil is imaginary enemy .