Shetani huwa anasali?

Shetani huwa anasali?

Hasali.

Shetani amenyimwa utii na Mwenyezi Mungu ili aadhibiwe siku ya mwisho.

Amenyimwa utii ili asije akaomba msamaha na akasamehewa makosa yake.Mungu hamhitaji tena shetani kwenye ufalme wake.

Shetani hawezi kukiomba wala kukisujudia kiumbe chochote kile kwa sababu nafsi yake imejazwa kiburi kwa makusudi.
 
asante by the grace of God
 
Kwa hio MUNGU muumbaji wa vyote ameumba Shetani akiwa amem-programu hivyo halafu baadae anakuja kumgeuzia kibao? Yaani MUNGU katika uumbaji alimuumba Shetani baadae aje kumuasi alim-programu hivyo unanielewa yaani ile chip ya uasi au niseme DNA ya uasi wa Shetani aliitengeneza MUNGU mwenyewe halafu huyo huyo Mungu anakuja kuvimbiana na shetani kwamba nani zaidi kati yake yeye na Shetani, hivi inaingia akilini hapo kidogo?

Yaani MUNGU wakati anamuumba Shetani alijua mwanzo wake mpaka mwisho wake sasa mwisho wake ndio huo MUNGU kuanza kutunishiana kifua na Shetani? Yaani kiumbe ulichokiumba ukijua mwanzo wake utakuaje mpaka mwisho wake utakuaje halafu unaanza kuvimbishiana nacho misuli kwamba nani zaidi kati ya Wewe Muumbaji na kiumbe ulichokiumba? Unajua kuna wakati hua inafikirisha sana hili suala
 
hiyo ni tafsiri yako. sisi wagalatia huwa hatuswali, tunasali. vitu viwili tofauti kabisa. na huwa hatusali na majini na mashetani.
Kama upo kwa ajili ya porojo sawa lakini kama upo kwa nia ya kujifunza,utajifunza mengi nami pia ntajifunza mengi
 
Naweza kusema anasali kwani alimwomba Mungu amruhusu ampe ruhusa kumshughulikia Ayubu ìli amwasi Mungu akapewa ruhusa lakiniAyubu akakomaa ili asimwasi Mungu
Simulizi hizi za wale watoto wa kipindi cha Watoto Show
 
Kwa hio MUNGU muumbaji wa vyote ameumba Shetani akiwa amem-programu hivyo halafu baadae anakuja kumgeuzia kibao? Yaani MUNGU katika uumbaji alimuumba Shetani baadae aje kumuasi alim-programu hivyo unanielewa yaani ile chip ya uasi au niseme DNA ya uasi wa Shetani aliitengeneza MUNGU mwenyewe halafu huyo huyo Mungu anakuja kuvimbiana na shetani kwamba nani zaidi kati yake yeye na Shetani, hivi inaingia akilini hapo kidogo?

Yaani MUNGU wakati anamuumba Shetani alijua mwanzo wake mpaka mwisho wake sasa mwisho wake ndio huo MUNGU kuanza kutunishiana kifua na Shetani? Yaani kiumbe ulichokiumba ukijua mwanzo wake utakuaje mpaka mwisho wake utakuaje halafu unaanza kuvimbishiana nacho misuli kwamba nani zaidi kati ya Wewe Muumbaji na kiumbe ulichokiumba? Unajua kuna wakati hua inafikirisha sana hili suala
Mi naona hata kazi ya Mungu pia huwa ina madhaifu, ila madhaifu yake yanazidi fahamu za wanadamu.

1 wakorintho.
Sura ya 1, aya ya 25.
 
Ana waumini pia na ana biblia na makuhani.. Dini yake inaitwa satanism na pengine hata wewe ni muumini wake
Halafu sala yake siku zote ni kutushtaki mbele za Mungu (Ufunuo. 12:10)
 
Back
Top Bottom