Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Unaamini Allah ni Mungu?Huyo ndiye JOKA KUU anafahamuka kama 🐉 DRAGON 🐲 ,unauliza kosa la shetani ni lipi?hakuna dini katika hizi za ABRAHAM is/Ibrahim iyojua kosa la shetani ni lipi,.?
Unaamini Allah ni Mungu?Huyo ndiye JOKA KUU anafahamuka kama 🐉 DRAGON 🐲 ,unauliza kosa la shetani ni lipi?hakuna dini katika hizi za ABRAHAM is/Ibrahim iyojua kosa la shetani ni lipi,.?
MAANA ya shetani ndiye mwenye kuudanganya ulimwengu ndiye baba WA UONGO,baba WA wote wenye kiburi,ndiye baba WA wote wenye dhambi..ndiye asili ya dhambi,na mshahara WA dhambi ni mauti..ila Yesu yeye ndiye mwenye kutulipia gharama ya dhambi KWA damu yake ili tusamehewe dhambi zetu zote na tuhesabiwe hak ili i tupate UZIMA WA MILELE badala ya mauti.Mana wote tumetenda dhambi lakini kupitia Yesu tunapata msamaha WA dhambi na kuhesabiwa HAKI,tukitubu dhambi zetu na KUZIACHA KABISA..TUWEKE bidii ya KUMTII YESU na kumpinga shetani naye atatukimbia
YESU sio malaika.*KUHUSU KUTOKUSAMEHE-- unforgiveness,bitterness ,kinyongo.
reply by
"zinginary" JF member
SWALI:=??
DUNIA YA SASA KUSAMEHE UNAONEKANA BOYAA NA DHARAU KIBAO ZINAONHEZEKA. BORA KISASI
JIBU
Kusamehe si kwa ajili ya aliyekukosea ila kwa faida yako mwenyewe na kwa sababu ya kutii neno la Mungu.
Mt 6:14-15
Kwa maana mkiwasamehe watu makosa yao, na Baba yenu wa mbinguni atawasamehe ninyi. Bali
msipowasamehe watu makosa yao, wala Baba yenu hatawasamehe ninyi makosa yenu.
sasa kama sheria ya MUNGU ndiyo hiyo kuwa kama wewe husamehi watu makosa yao na wewe hustahili kusamehewa.
kama sisi nasi Mungu asipotusamehe makosa yetu mana yake tunastahili mshahara wa dhambi ambao ni mauti.
Rum 6:23 S
Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti;
KUSAMEHE NA KUACHILIA WATU MOYONI KUSAHAU KABISA NI BORA KULIKO KUBEBA KINYONGO MOYONI.
Hata wanaosomea UCHAWI TU ama ELIMU YA FALAKI elimu ya uchawi wenyewe wanaita ILIMU ,inaelezea kabisa Shetani aliwaza moyoni MWAKE akataka naye aabudiwe kama Mungu,akashawishi theluthi moja ya malaika wamuasi Mungu japo LENGO lake ilikuwa apate followers theluthi 2 ili Mungu abaki na theluthi moja ili hata kama iikitokea vita amshinde KWA kuwa nanifadinkubwa ya wafuasi aka ambulia KUPATA theluthi moja badala ya theluthi mbili,na hata Mungu hakushindana naye ila Mungu alimtuma malaika wake aitwaye MIKAELI akamfurumushe Lucifer na malaika waliodanganywa/shawishika KUMFUATA Lucifer waanzishe ufamle wao na mbingu Yao, malaika MIKAELI akawatupa chini kuzimu,fallen angels,wangeni wakafungwa minyororo dragon,dragon, ABADON, APOLIONI huyu siku akifunguliwa minyororo atawamaliza wanadamu wengi sana robo ya dunia anaweza kuwaangamiza,siku ya DHIKI kuu itakuwa na mateso makali sana,
Walipofika kuzimu shetani alisema enzi yake ,akapanda angani akaweka enzi yake angani,akaja duniani akapitia mlango WA bustani ya edeni akamkut Adam na Hawa akawadanganya wamuasi Mungu,baadhi ya follen angels wakazaa na wanadamu yakazaliwa MANEFILI yakawafundisha wanadamu uchawi,na elimu ya sayansi ya SILAHA za vita na maasi mengine yakawafundisha wanadamu maasi na maovu,KIASILI WANADAMU WOTE NI WAJA WA MWENYEZI MUNGU WAMEUMBIWA MOYO WA IBADA UBINADAMU ila Roho za majini ndio zinawafanya watu wawe wachawi majini watu wachinjane ,watoto wanopatikana KWA waganga WA kienyeji sio watoto WA kawaidA ni majini upili ndio utaona maasi mengi asili yake niROHO Z mashetwani .
1 Yoh 3:8 S
atendaye dhambi ni wa Ibilisi; kwa kuwa Ibilisi hutenda dhambi tangu mwanzo. Kwa kusudi hili Mwana wa Mungu alidhihirishwa, ili azivunje kazi za Ibilisi
Ufunuo WA Yohana 12
7 Kulikuwa na vita mbinguni; Mikaeli na malaika zake wakapigana na yule joka, yule joka naye akapigana nao pamoja na malaika zake;
8 nao hawakushinda, wala mahali pao hapakuonekana tena mbinguni.
9 Yule joka akatupwa, yule mkubwa, nyoka wa zamani, aitwaye Ibilisi na Shetani, audanganyaye ulimwengu wote; akatupwa hata nchi, na malaika zake wakatupwa pamoja naye.
Idadi ya hao malaika zake inatajwa kuwa ni theluthi moja.
Kutupwa Duniani na Theluthi ya Malaika: Katika Ufunuo 12:4 na Ufunuo 12:7-9, inaelezwa kuwa kukazuka vita mbinguni ambapo Mikaeli na malaika zake walipigana na lile joka (Shetani). Joka likashindwa na likatupwa chini duniani pamoja na malaika zake wote. Fungu la 4 linataja kuwa mkia wa joka hilo ulikokota theluthi moja ya nyota za mbinguni (zinazotafsiriwa kama malaika walioasi) na kuzitupa chini.
Elimu ya FALAKI pia inaelezea pia kuwa shetani aliwaza moyoni MWAKE awadangays 2/3 ila akaambulia 1/3