Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Habarini wana JF,
Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri anavyojaribu ndo kama mambo yanazidi kuharibika zaidi hili halihitaji mjadala mifano ni mingi
Tukumbuke hapo ni Robo tu ya malaika nafikiri wangeasi Nusu ya malaika basi wangemuua kabisa huyo Mungu,
Maana hawa wachache tu wamemsumbua mpka akamtuma mwanaye Yesu sasa najaribu kufikiria wakiwa Nusu nafikiri angetuma mbingu nzima na mwishoni na yeye angekuja na hapo ndo Shetani na malaika zake wangemmaliza kabisa na asiwepo tena.