Shetani na robo ya Malaika ndio waliasi Mbinguni na Mungu anahaingaika hivi kuwazuia, nafikiri wangeasi Nusu ya Malaika basi wangemuua kabisa Mungu

Mkuu nashukuru nimecheka Tu..Yaani wangekuwa wameasi nusu wangemuua MUNGU.!!!!! Kwamba Huyo MUNGU angekuwa dhaifu kiasi gani???
 
Habarini wana JF,

Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa Huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri anavyojaribu ndo kama mambo yanazidi kuharibika zaidi hili halihitaji mjadala mifano ni mingi,

Tukumbuke hapo ni Robo tu ya malaika nafikiri wangeasi Nusu ya malaika basi wangemuua kabisa huyo Mungu,

maana hawa wachache tu wamemsumbua mpka akamtuma mwanae Yesu sasa najaribu kufikiria wakiwa Nusu nafikiri angetuma mbingu nzima na mwishoni na yeye angekuja na hapo ndo Shetani na malaika zake wangemmaliza kabisa na asiwepo tena.
Aisee
 
Ila kuna watu mnafikiriaga ujinga 🤣
Ngoja wafia dini waje.
 
Wapi umesoma kwamba Mungu anasumbuka kuwazuia malaika walioasi?

Mungu kufa maana yake ni nini? Yesu alikufa kwa sababu alivaa mwili lakini aliendelea ku exist, hakuna kiumbe cha roho kita cease ku exist. Mwanadamu, malaika, mapepo, hatuna mwisho kwa sababu sisi ni roho. Tutaishi milele ama pamoja na Mungu au mbali na uso wa Mungu.
bana wee unauhakika? binafsi nakuomba uni converse kwa hili.
 
Habarini wana JF,

Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa Huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri anavyojaribu ndo kama mambo yanazidi kuharibika zaidi hili halihitaji mjadala mifano ni mingi,

Tukumbuke hapo ni Robo tu ya malaika nafikiri wangeasi Nusu ya malaika basi wangemuua kabisa huyo Mungu,

maana hawa wachache tu wamemsumbua mpka akamtuma mwanae Yesu sasa najaribu kufikiria wakiwa Nusu nafikiri angetuma mbingu nzima na mwishoni na yeye angekuja na hapo ndo Shetani na malaika zake wangemmaliza kabisa na asiwepo tena.
Wewe ni Muongo na ni mzushi.

Nani dhalimu zaidi ya yule anayemzushia uongo Mungu?

Quran hakuna aya hata moja inayosema kuwa kuna kundi la malaika lilimuasi Mungu pamoja na shetani.

Malaika hawajaumbwa kumuasi Mungu bali wanatekeleza kila waliloamrishwa.

Malaika waneumbwa kwa Nuru.

Iblis ni jini ameumbwa kwa Moto

Adam ameumbwa kwa udongo.

Binadamu na Majini ndio viumbe viwili vilivyopewa uhuru wa kutenda na kuchagua kati ya mema na mabaya. Malaika wao wameumbwa kutenda yale waliyoamrishwa na Mungu tu.
 
Biblia na Quran zote Zina story za uwongo uwongo, haiingii akilini Kama una akili timamu
unaikataa Quran kwa kuwa huna akili timamu. Ila karibu utakuja jua.

Mungu kashawaelezea watu waliokufuru kama wewe

Quran

Al-Furqan 25:4

وَقَالَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ إِنْ هَٰذَآ إِلَّآ إِفْكٌ ٱفْتَرَىٰهُ وَأَعَانَهُۥ عَلَيْهِ قَوْمٌ ءَاخَرُونَۖ فَقَدْ جَآءُو ظُلْمًا وَزُورًا

English - Sahih International

And those who disbelieve say, "This [Qur’ān] is not except a falsehood he invented, and another people assisted him in it." But they have committed an injustice and a lie.

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Na wamesema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uzushi alio uzua, na wamemsaidia kwa haya watu wengine! Hakika hawa wamekuja na dhulma na uwongo.

Al-Furqan 25:5

وَقَالُوٓا۟ أَسَٰطِيرُ ٱلْأَوَّلِينَ ٱكْتَتَبَهَا فَهِىَ تُمْلَىٰ عَلَيْهِ بُكْرَةً وَأَصِيلًا

English - Sahih International

And they say, "Legends of the former peoples which he has written down, and they are dictated to him morning and afternoon."

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Na wakasema: Hivi ni visa vya watu wa kale alivyo viandikisha, anavyo somewa asubuhi na jioni.
 
Habarini wana JF,

Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa Huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri anavyojaribu ndo kama mambo yanazidi kuharibika zaidi hili halihitaji mjadala mifano ni mingi,

Tukumbuke hapo ni Robo tu ya malaika nafikiri wangeasi Nusu ya malaika basi wangemuua kabisa huyo Mungu,

maana hawa wachache tu wamemsumbua mpka akamtuma mwanae Yesu sasa najaribu kufikiria wakiwa Nusu nafikiri angetuma mbingu nzima na mwishoni na yeye angekuja na hapo ndo Shetani na malaika zake wangemmaliza kabisa na asiwepo tena.
Pengine hujui au unaamua kupotosha Tu

Malaika ni viumbe ambao hawana matamanio na hawamuasi MWENYEZIMUNGU na wao tangia wameumbwa kazi Yao ni kumtumikia na kumuabudu MWENYEZIMUNGU Tu

Ibilisi (shetani) ni miongoni mwa majini na sio malaika na hajawahi kua malaika ila alipata kuishi na malaika

Ujue kutofautisha Malaika,Jini, Binadamu hawa ni viumbe miongoni mwa viumbe alivoviumba MWENYEZIMUNGU

Sasa hayo mafundisho yenu kwenye vitabu vyenu vya KISHETANI (wazungu) na elimu zenu za kubumba na kwakua nyie kazi yenu ni kumeza tu kila mnachoambiwa na wazungu basi jua kua mnaingizwa chaka
 
Ulichokiongea unakijua?
 
Unachokisema ni akili ya kawaida kabisa kwa mwenye kufikiri juu ya hiyo story, ila unachokosea ni kwamba hiyo ni hadithi ya biblia na sio Quran.

Quran inatamka wazi kuwa Iblees ni Jini na wala sio malaika (Quran 18:50). Hakujawahi kuwa na malaika aliyeasi kulingana Quran kwa kuwa wao wanafanya only kile walicho amrishwa (Quran 66:6). Iblees alipewa extension ya uhai baada ya kuomba hilo ili amthibitishie Allah kuwa anaweza kuwapotosha wanadamu (Quran 7:12-18).

Katika Uislamu hakujawahi kuwa na uasi wa malaika kwa mola wao, hakujawahi kuwa na mapigano kati ya malaika na Iblees (pamoja na wafuasi wake i.e majini mashetani), hakujawahi kuwa na mamlaka ya Iblees juu ya binadamu (Quran 14:12) na Allah hashindani na kiumbe wake huyu dhaifu, bali amemuacha kuwa kama ni mtihani kwetu tu wanadamu.
Kwamba Mungu kamuacha shetani makusudi awe mtihani kwetu!? Mungu anayetupeda sana ametuumbia shetani atutese na tukishindwa kupambana naye anatuchoma moto! Kwanini asimteketeze huyo shetani Dunia iwe sehemu salama? Kama shetani ni jini sawa nakubaliana na wewe, ila Mungu si ana mamlaka juu ya majini kwakuwa kayaumba yeye?
 
Pia jiulize kwani Allah ana-gain nini kwa kukuumba wewe hapa duniani?

Tambua kwamba akili yako ni ndogo sana (binadamu), so never try to justify alichofanya Allah kwa kuegemea katika akili yako ambayo ipo very limited. Ujuzi wa binadamu katika karne hii ya 21 ni tofauti na ile ya karne ya 20, tambua ujinga wako kwanza then kaa sehemu yako.

Hatuwezi kumjua Mungu wala nini anataka kwetu kwa kutumia akili zetu, ni mpaka yeye atuambie i.e. kupitia mitume wake na miongozo yake (vitabu vitakatifu).

Kasome Quran 57:20 kwanza
Umekimbia swali ustaadhi, umeulizwa kwanini Mungu atupambanishe na shetani? Kuna faida ipi? Hiyo haihusiani na faida ya yeye kutuumba, issue ni kwanini tupambanishwe na kiumbe kingine ambacho angeweza kukidhibiti? Shida yenu mkikosa jibu mnakimbilia kwenye kufuru au akili yetu ndogo kuliko Mungu! Tunajua yote hayo ila tujibu hilo la kutupambanisha na shetani wakati anaweza kumdhibiti, faida yake ni nini?
 
Dah! tabu kweli!

Sio wewe tu, hata tukusanyike viumbe wote wa ulimwengu hatumnufaishi chochote Mungu ... yeye hatuhitajii bali sisi ndo tunaomuhitajia!
Umaweza kutengeneza kitu usichokihitaji!? Unaweza kununua kitu usichohitaji? Huna hoja.
 
Wewe ni Muongo na ni mzushi.

Nani dhalimu zaidi ya yule anayemzushia uongo Mungu?

Quran hakuna aya hata moja inayosema kuwa kuna kundi la malaika lilimuasi Mungu pamoja na shetani.

Malaika hawajaumbwa kumuasi Mungu bali wanatekeleza kila waliloamrishwa.

Malaika waneumbwa kwa Nuru.

Iblis ni jini ameumbwa kwa Moto

Adam ameumbwa kwa udongo.

Binadamu na Majini ndio viumbe viwili vilivyopewa uhuru wa kutenda na kuchagua kati ya mema na mabaya. Malaika wao wameumbwa kutenda yale waliyoamrishwa na Mungu tu.
Kwahiyo jini Shetani likaamua kumuasi Mungu na kumpinga ila akaliacha litambe tu!?
Mpaka sasa hapa Duniani tukitoa alama kwa Shetani na Mungu ni wazi kuwa shetani ana asilimia nyingi za ushindi, kwanini asimdhibiti? Na kwanini amuache aangamize viumbe wake wengine?
 
unaikataa Quran kwa kuwa huna akili timamu. Ila karibu utakuja jua.

Mungu kashawaelezea watu waliokufuru kama wewe

Quran

Al-Furqan 25:4

وَقَالَ ٱلَّذِينَ كَفَرُوٓا۟ إِنْ هَٰذَآ إِلَّآ إِفْكٌ ٱفْتَرَىٰهُ وَأَعَانَهُۥ عَلَيْهِ قَوْمٌ ءَاخَرُونَۖ فَقَدْ جَآءُو ظُلْمًا وَزُورًا

English - Sahih International

And those who disbelieve say, "This [Qur’ān] is not except a falsehood he invented, and another people assisted him in it." But they have committed an injustice and a lie.

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Na wamesema walio kufuru: Haya si chochote ila ni uzushi alio uzua, na wamemsaidia kwa haya watu wengine! Hakika hawa wamekuja na dhulma na uwongo.

Al-Furqan 25:5

وَقَالُوٓا۟ أَسَٰطِيرُ ٱلْأَوَّلِينَ ٱكْتَتَبَهَا فَهِىَ تُمْلَىٰ عَلَيْهِ بُكْرَةً وَأَصِيلًا

English - Sahih International

And they say, "Legends of the former peoples which he has written down, and they are dictated to him morning and afternoon."

Swahili - Ali Muhsin Al-Barwani

Na wakasema: Hivi ni visa vya watu wa kale alivyo viandikisha, anavyo somewa asubuhi na jioni.
Tupe na ile aya ya jua kuzama matopeni.
 
Pengine hujui au unaamua kupotosha Tu

Malaika ni viumbe ambao hawana matamanio na hawamuasi MWENYEZIMUNGU na wao tangia wameumbwa kazi Yao ni kumtumikia na kumuabudu MWENYEZIMUNGU Tu

Ibilisi (shetani) ni miongoni mwa majini na sio malaika na hajawahi kua malaika ila alipata kuishi na malaika

Ujue kutofautisha Malaika,Jini, Binadamu hawa ni viumbe miongoni mwa viumbe alivoviumba MWENYEZIMUNGU

Sasa hayo mafundisho yenu kwenye vitabu vyenu vya KISHETANI (wazungu) na elimu zenu za kubumba na kwakua nyie kazi yenu ni kumeza tu kila mnachoambiwa na wazungu basi jua kua mnaingizwa chaka
Biblia ni kitabu cha Wayahudi, wewe mtu mweusi wa Kingugi unaijua historia ya Dunia hii na viumbe wake kuliko Wayahudi? Hiyo quran yenyewe imechota maandiko ya biblia
 
Back
Top Bottom