Mungu mwenyewe anashirikiana/kushauriana na huyo shetan jinsi ya kuwasurubu wanadamu dunian,
hamuoni kuwa hivyo Viumbe jambo lao ni Moja? Yaani mission ya Mungu ilikuwa kumtengeneza shetan awe kivuli chake ama adui kwa kificho, yaani Mungu akitaka kukutesa anamtuma shetan then anarudi kwa sura ya upole kuwa yeye ndie atakuponya na mateso ya shetan, yaani kiufupi Mungu anatengeneza tatizo na kulitatua yeye mwenyewe, kwa maana nyingine anakupiga kwa mkono kwa kushoto na kukupa pole kwa mkono wa kulia.
Shetani ndie Mungu, na Mungu ndie shetan kwa maana rahisi