Malaika wa Misukosuko
JF-Expert Member
- Jul 16, 2021
- 2,470
- 7,376
Kwenye Quran hakuna sehemu iliyoandikwa Malaika alimuasi MunguHabarini wana JF,
Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa Huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri anavyojaribu ndo kama mambo yanazidi kuharibika zaidi hili halihitaji mjadala mifano ni mingi,
Tukumbuke hapo ni Robo tu ya malaika nafikiri wangeasi Nusu ya malaika basi wangemuua kabisa huyo Mungu,
maana hawa wachache tu wamemsumbua mpka akamtuma mwanae Yesu sasa najaribu kufikiria wakiwa Nusu nafikiri angetuma mbingu nzima na mwishoni na yeye angekuja na hapo ndo Shetani na malaika zake wangemmaliza kabisa na asiwepo tena.
Daah mpendwa unasomaga biblia lakini?Habarini wana JF,

Wapi umesoma kwamba Mungu anasumbuka kuwazuia malaika walioasi?ni miaka maelfu sasa Huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia
Mungu kufa maana yake ni nini? Yesu alikufa kwa sababu alivaa mwili lakini aliendelea ku exist, hakuna kiumbe cha roho kita cease ku exist. Mwanadamu, malaika, mapepo, hatuna mwisho kwa sababu sisi ni roho. Tutaishi milele ama pamoja na Mungu au mbali na uso wa Mungu.nafikiri wangeasi Nusu ya malaika basi wangemuua kabisa huyo Mungu,
Kuna mahali nilisoma, shetani aliomba ruhusa Kwa Mungu amjaribu mwanadamu😀Mungu mwenyewe anashirikiana/kushauriana na huyo shetan jinsi ya kuwasurubu wanadamu dunian,
hamuoni kuwa hivyo Viumbe jambo lao ni Moja? Yaani mission ya Mungu ilikuwa kumtengeneza shetan awe kivuli chake ama adui kwa kificho, yaani Mungu akitaka kukutesa anamtuma shetan then anarudi kwa sura ya upole kuwa yeye ndie atakuponya na mateso ya shetan, yaani kiufupi Mungu anatengeneza tatizo na kulitatua yeye mwenyewe, kwa maana nyingine anakupiga kwa mkono kwa kushoto na kukupa pole kwa mkono wa kulia.
Shetani ndie Mungu, na Mungu ndie shetan kwa maana rahisi
Mkuu unataka kusema nini hapo?Kuna mahali nilisoma, shetani aliomba ruhusa Kwa Mungu amjaribu mwanadamu😀
huelewi chochote kuhusu mpango wa ukombozi.....kama una swali nlinalokushinda niulize mmHabarini wana JF,
Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa Huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri anavyojaribu ndo kama mambo yanazidi kuharibika zaidi hili halihitaji mjadala mifano ni mingi,
Tukumbuke hapo ni Robo tu ya malaika nafikiri wangeasi Nusu ya malaika basi wangemuua kabisa huyo Mungu,
maana hawa wachache tu wamemsumbua mpka akamtuma mwanae Yesu sasa najaribu kufikiria wakiwa Nusu nafikiri angetuma mbingu nzima na mwishoni na yeye angekuja na hapo ndo Shetani na malaika zake wangemmaliza kabisa na asiwepo tena.
🤣🤣🤣🤣🤣 Harafu binadamu tunaangushiwa zigo sisi tutamuwesea wapi huyo shetwani?Habarini wana JF,
Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa Huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri anavyojaribu ndo kama mambo yanazidi kuharibika zaidi hili halihitaji mjadala mifano ni mingi,
Tukumbuke hapo ni Robo tu ya malaika nafikiri wangeasi Nusu ya malaika basi wangemuua kabisa huyo Mungu,
maana hawa wachache tu wamemsumbua mpka akamtuma mwanae Yesu sasa najaribu kufikiria wakiwa Nusu nafikiri angetuma mbingu nzima na mwishoni na yeye angekuja na hapo ndo Shetani na malaika zake wangemmaliza kabisa na asiwepo tena.
wewe ni mkristo nakujua nashangaa unajitoa ufahamu ili uchangamshe jukwaa kuwa makiniBiblia na Quran zote Zina story za uwongo uwongo, haiingii akilini Kama una akili timamu
Unasoma Qur'an gani ndugu mkafiri, yaan mkufuruji?Habarini wana JF,
Hadithi za Biblia na Quran zinaeleza Shetani na Robo ya Malaika ndo waliasi mbinguni ila sote tunajionea ni miaka maelfu sasa Huyo Mungu muweza anasumbuka kuwazuia na kadri anavyojaribu ndo kama mambo yanazidi kuharibika zaidi hili halihitaji mjadala mifano ni mingi,
Tukumbuke hapo ni Robo tu ya malaika nafikiri wangeasi Nusu ya malaika basi wangemuua kabisa huyo Mungu,
maana hawa wachache tu wamemsumbua mpka akamtuma mwanae Yesu sasa najaribu kufikiria wakiwa Nusu nafikiri angetuma mbingu nzima na mwishoni na yeye angekuja na hapo ndo Shetani na malaika zake wangemmaliza kabisa na asiwepo tena.
Unachokisema ni akili ya kawaida kabisa kwa mwenye kufikiri juu ya hiyo story, ila unachokosea ni kwamba hiyo ni hadithi ya biblia na sio Quran.Habarini wana JF,