Shetani na robo ya Malaika ndio waliasi Mbinguni na Mungu anahaingaika hivi kuwazuia, nafikiri wangeasi Nusu ya Malaika basi wangemuua kabisa Mungu

Maelezo mazuri Sana haya. Asante. Sasa huwa najiuliza, kwa nini Mungu atuachie shetani kuwa mtihani wetu? What does he gain from it? Yeye kama Mungu
 
Maelezo mazuri Sana haya. Asante. Sasa huwa najiuliza, kwa nini Mungu atuachie shetani kuwa mtihani wetu? What does he gain from it? Yeye kama Mungu
Pia jiulize kwani Allah ana-gain nini kwa kukuumba wewe hapa duniani?

Tambua kwamba akili yako ni ndogo sana (binadamu), so never try to justify alichofanya Allah kwa kuegemea katika akili yako ambayo ipo very limited. Ujuzi wa binadamu katika karne hii ya 21 ni tofauti na ile ya karne ya 20, tambua ujinga wako kwanza then kaa sehemu yako.

Hatuwezi kumjua Mungu wala nini anataka kwetu kwa kutumia akili zetu, ni mpaka yeye atuambie i.e. kupitia mitume wake na miongozo yake (vitabu vitakatifu).

Kasome Quran 57:20 kwanza
 
Mie sijapitia hivyo vitabu and I honestly won't 🀣🀣 ila kama wewe umevisoma haya tuambie Mungu anafaidika vipi na uwepo wangu.

Ubishi pembeni. Ushawahi kujiuliza nani kati yangu mimi na Mungu ni mhitaji??
 
mmmh! Unamaanisha nikama vyama ya siasa nchini.
 
Huu uzi umeletwa tu ili na wewe uwe umeandika,ni wapi Mungu alisema anasumbuka na viumbe hivyo
Na Yesu hakutumwa kushughulika na wanaomsumbua,bali kumkomboa mwanadamu
Usikurupuke wakati mwingine
 
Mie sijapitia hivyo vitabu and I honestly won't 🀣🀣 ila kama wewe umevisoma haya tuambie Mungu anafaidika vipi na uwepo wangu.

Ubishi pembeni. Ushawahi kujiuliza nani kati yangu mimi na Mungu ni mhitaji??
Dah! tabu kweli!

Sio wewe tu, hata tukusanyike viumbe wote wa ulimwengu hatumnufaishi chochote Mungu ... yeye hatuhitajii bali sisi ndo tunaomuhitajia!
 
shetani na robo au na theluthi moja ya malaika?
 
huelewi chochote kuhusu mpango wa ukombozi.....kama una swali nlinalokushinda niulize mm
UKOMBOZI?
Wanini mkuu

Mungu kashindwana na Shetani na kwa MAKUSUDI akamtupa duniani aje kutupa shuluba

Ni kihere here gani kila mfanya akawapa shetani akina Adam pale Heden?

Akaona shuluba zimemzidia binadamu akaamua kujitoa kafara kupitia β€œMungu Mwana” eti ili KUTUKOMBOA

Yaani badala ya kumshughulikia shetani akajiua yeye...... na shuluba na dhambi zipo pale pale

Kuamini hekaya kama hizi ni lazima ujitoe kwanza ufahamu
 
Ndivyo ulivyoambiwa na mchungaji wako , Mbona hukutuwekea ushahidi wa Biblia na Quran kuthibitisha maneno yako ??
 
Dah! tabu kweli!

Sio wewe tu, hata tukusanyike viumbe wote wa ulimwengu hatumnufaishi chochote Mungu ... yeye hatuhitajii bali sisi ndo tunaomuhitajia!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ job true true! Sasa kama mimi namuhitaji mbona yeye ndio anayeweka masharti? Kwani mimi nilimuomba aniumbe? Mbona yeye ndiye anayetaka nimuabudu. Na nitende mambo mema? Nani kati ya mwanadamu na Mungu anamuhitaji mwenzie?
 
Na unajiona mjanja mwenyewe hapo, au sio?

Endelea kubet
 
walipojifanya wenye hekima walipumbazikaa....!
 
Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…