Shetani pacha wake pesa na warembo

Shetani pacha wake pesa na warembo

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Shalom,

Ukubali ukatae penye pesa shetani yupona penye warembo shetani katulia, sasa utaamua wewe na tafakari yako wewe upo wapi na shetani wako umekaa nae wapi.

Ni kwa uchache naomba iwafikie

Wadiz
 
Halafu kuna wakati shetani apewe mauwa yake kwakweli, kuna wadada nawakula naishia kujiuliza ilikuwaje nikamkula yule lazima ili tokea nguvu ya ziada.
 
Mwanaume ukiwa na misimamo,unaweza ukahongwa pesa lakini ukaweka ngumu,sasa suluhisho la mwisho ni kukutumia KE akulainishe...
Katika Johari 12 za HEKIMA,ya mwisho inasema,"Staha ya shetani inayofnya kazi vizuri kumwingiza mwanaume kwenye dhambi ni mwanamke".
 
Back
Top Bottom