Ukitaka kumpata shetani, mtukuze Yesu kwa jina la shetani kwa vile wanafahamiana na ni ndugu walioumbwa na Mungu mmoja.Shetani amewatekaje watu?
1. Ni kwa kupitia vita vinavyoendelea kati ya Israel na Iran. Shetani ameutumia mgogoro uliopo katika nchi hizo kuwashawishi watu wachukiane, na wamemtii. Matokeo yake sasa kuna chuki kati ya mataifa, dini na watu binafsi. Watu wanawaza kulipizana kisasi.
2. Amewatumia watu kueneza habari na taarifa mbaya za vita. Habari hizo zimewafanya watu kujaa hofu kubwa badala ya imani.
3. Amewashawishi watu kuitumia mitandao ya kijamii kuandika mada za kejeli, dhihaka, matusi, na kauli za kutenganisha watu kwa misingi ya dini na mataifa.
4. Amewatumia watu kutengeneza na kutuma picha za uongo kuhusiana na mgogoro huo wa Israel na Iran.
Shetani ameleta uharibifu katika ulimwengu wa roho, kupitia vita vya Israeli na Iran. Ameweka mitego ya kuwanasa watu wengi waingie katika ufalme wake wa giza. Amewaingizia watu mashaka kuhusu uwepo wa Mungu wa Israeli.
Leo, tumezifunua hila zako shetani na udanganyifu wako. Na kwa mamlaka tuliyopewa na Yesu, tunakukemea: waachie watu uliowateka, warudi katika ufalme wa Mungu.
Ee Mungu mkumbuke Leo X katika ufalme wako. Mfungue kutoka katika minyororo ya Ibilisi. Katika Jina la Yesu, amen.Ukitaka kumpata shetani, mtukuze Yesu kwa jina la shetani kwa vile wanafahamiana na ni ndugu walioumbwa na Mungu mmoja.
Eewe Mungu mkumbuke Setfree. Mfungue toka kwenye minyororo ya uzwazwa aache kuamini na badala yake aelewe.Ee Mungu mkumbuke Leo X katika ufalme wako. Mfungue kutoka katika minyororo ya Ibilisi. Katika Jina la Yesu, amen.
Yesu hakuumbwa. Yesu ni Mungu, hana mwanzo wala mwisho. Shetani ndiye aliyeumbwa.
Soma Ufunuo 1:8
“Mimi ni Alfa na Omega,” asema Bwana Mungu, “aliyeko, aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.”
Soma tena Ufunuo 1:17-18:
Yesu anasema wazi hapo:
"Mimi ni wa kwanza na wa mwisho, naye aliye hai; nalikuwa nimekufa, na tazama, ni hai hata milele na milele, tena ninazo funguo za mauti na za kuzimu."
AmenEewe Mungu mkumbuke Setfree. Mfungue toka kwenye minyororo ya uzwazwa aache kuamini na badala yake aelewe.
Ellen G White, Martin Luther na Moses Kulola hawapo duniani. Kwanini unawaomba wakuombee? Hata Bikira Maria aliyekuwa mama wa Yesu hatupaswi kumuomba atuombee. Jifunze kuomba mwenyewe.Mwinjilisti ellen g white-utuombee
Kikwete-utuombee
Martin luther-utuombee
Moses kulola -utuombee
Mwamposa-utuombee
Pastor tony -utuombee
Mungu hawezi kusikia hayo maombi, ni batili. Yameishia hewani tu.Eewe Mungu mkumbuke Setfree. Mfungue toka kwenye minyororo ya uzwazwa aache kuamini na badala yake aelewe.
Shetani si wa kuchezewa. Biblia inasema shetani ni simba angurumaye, akitafuta mtu wa kummeza (1 Petro 5:8). Tunamshinda kwa damu ya Yesu na kwa neno la ushuhuda wetu – si kwa ‘kumkamata’ inbox.”Binti njoo inbox nimemkamata shetani nataka umuone.
Kwanza acha kutumia AIShetani si wa kuchezewa. Biblia inasema shetani ni simba angurumaye, akitafuta mtu wa kummeza (1 Petro 5:8). Tunamshinda kwa damu ya Yesu na kwa neno la ushuhuda wetu – si kwa ‘kumkamata’ inbox.”
Niliokoka kabla AI haijazaliwa. Maneno ya Mungu yamejaa ndani yangu.Kwanza acha kutumia AI
Toka hapa kadanganye wajingaNiliokoka kabla AI haijazaliwa. Maneno ya Mungu yamejaa ndani yangu.
Kol 3:16-17
Neno la Kristo na likae kwa wingi ndani yenu katika hekima yote, mkifundishana na kuonyana kwa zaburi, na nyimbo, na tenzi za rohoni; huku mkimwimbia Mungu kwa neema mioyoni mwenu.
1 Kor 6:9-10Huu si ni Muda wa kukaa dogiee au kifo Cha Mende Binti?
Shetani toka ndani ya Munch wa annabelletz47, huwezi kuendelea kumtawala. Mwachie katika Jina la Yesu, amenToka hapa kadanganye wajinga