Ibilisi Mjalaana
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 8,297
- 16,529
AmenShetani toka ndani ya Munch wa annabelletz47, huwezi kuendelea kumtawala. Mwachie katika Jina la Yesu, amen

Kwa vile wewe ndiiye mshauri wako, usemayo ni kweli. Asante kwa upendo wakoMungu hawezi kusikia hayo maombi, ni batili. Yameishia hewani tu.
Hujiulizi kwanini naitwa Setfree? I have truly been set free from the bondage of sin and Satan
Yes, nimekuambia ukweli tu Leo XKwa vile wewe ndiiye mshauri wako, usemayo ni kweli. Asante kwa upendo wako
Senzi kabisa sifanyi hivyo. Naweza kuwa kama wewe kkkk.Yes, nimekuambia ukweli tu Leo X
Ili upate unayoyaomba zingatia mambo haya yafutayo:
1. Omba kwa Imani
Marko 11:24 – "Kwa sababu hiyo nawaambia: Mambo yote myaombayo mkisali, amini ya kwamba mnayapokea, nayo yatakuwa yenu."
2. Omba kwa Jina la Yesu
Yohana 14:13-14 – "Nanyi mkiomba lo lote kwa jina langu, nitalifanya, ili Baba atukuzwe katika Mwana. Mkiniomba neno lo lote kwa jina langu, nitalifanya."
3. Omba sawasawa na mapenzi ya Mungu
1 Yohana 5:14 – "Na huu ndio ujasiri tulio nao kwake, ya kwamba tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia."
4. Uwe na moyo safi (Usitende dhambi)
Isaya 59:1-2 – "Tazama, mkono wa Bwana haukupunguka, hata usiweze kuokoa; wala sikio lake si zito, hata lisiweze kusikia; lakini maovu yenu yamewafarikisha ninyi na Mungu wenu, na dhambi zenu zimeuficha uso wake msiuone, hata hataki kusikia."
5. Omba kwa unyenyekevu
2 Mambo ya Nyakati 7:14 – "Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watanyenyekea, na kuomba, na kunitafuta uso wangu, na kuacha njia zao mbaya; basi nitasikia kutoka mbinguni, na kuwasamehe dhambi yao, na kuiponya nchi yao."
6. Omba kwa uvumilivu bila kukata tamaa
Luka 18:1 – "Akawaambia mfano, ya kwamba imewapasa kumwomba Mungu siku zote, wala wasikate tamaa."
7. Epuka kuomba kwa ajili ya tamaa zako
Yakobo 4:3 – "Mwaomba, wala hampati kwa sababu mwaomba vibaya, ili mvitumie kwa tamaa zenu."
8. Omba na kufunga
Mathayo 17:21 – "Lakini namna hii haitoki ila kwa kusali na kufunga."
Hivyo ni baadhi ya vigezo na masharti ya kuzingatia ili tupate tunayoyaomba
Soma uzi huu uone mambo aliyonifanyia Mungu, nilipozingatia vigezo na masharti hayo
![]()
Kwanini watu wanapuuzia kumuomba Mungu wakati Mungu anasikia na kujibu maombi?
Watu wana shida kibao zisizotatulika. Watu wana matatizo mengi yaliyo juu ya uwezo wao; wanalia maisha magumu lakini hawana mlango wa kutokea. Watu wanatafuta “solution” ya shida za kifamilia, za kibiashara, kikazi, kimasomo lakini hawaoni mwanga mbele. Ukiwaambia wamuombe Mungu, anaweza...www.jamiiforums.com
Senzi kabisaYes, nimekuambia ukweli tu Leo X

Umenena vema kabisa granitizedhakika dunia ina mapepo kwa sasa, kwa pamoja tuyakemee.
Nakuigiza weweMbona unajiongezea dhambi juu ya dhambi?
😳😳😳😳😳😳😳😳😳Umenena vema kabisa granitized
Shetani anajua wakati uliosalia ni mchache, hivyo yeye na mapepo yake wanakazana kuwateka watu ili waangamie nao jehanam. Tuendelee kuhamasishana kuyakemea mapepo kwa Jina la Yesu.
2 Kor 10:4-5
maana silaha za vita vyetu si za mwili, bali zina uwezo katika Mungu hata kuangusha ngome; tukiangusha mawazo na kila kitu kilichoinuka, kijiinuacho juu ya elimu ya Mungu; na tukiteka nyara kila fikira ipate kumtii Kristo.
Kama yeye ni simba mimi nitatumia B-52 kumtokomezaShetani si wa kuchezewa. Biblia inasema shetani ni simba angurumaye, akitafuta mtu wa kummeza (1 Petro 5:8). Tunamshinda kwa damu ya Yesu na kwa neno la ushuhuda wetu – si kwa ‘kumkamata’ inbox.”
Efe 6:12Kama yeye ni simba mimi nitatumia B-52 kumtokomeza
binti hatari wew unajua hadi dogie ni nini na kifo cha mende unabalaa1 Kor 6:9-10
Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang’anyi