Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Pole kwa jambo lipi lililonikutaPole Sana
Ukiwa unajua Kiingereza halafu unasomasoma mambo utajua hamna jipya hapa.Kiranga tia neno hapa braza
Hakuna sehemu nimesema ni kitu kipya hayo ya kitu kipya umesema wewe na sio mimiUkiwa unajua Kiingereza halafu unasomasoma mambo utajua hamna jipya hapa.
Ila kwa wengi wetu ambao hawajui Kiingereza au hawajasoma au vyote, wanaweza kushangaa.
Sasa mimi unaniambia Jupiter si sayari ni nyota leo wakati hiyo habari nimeisoma tangu enzi za Carl Sagan nitaona una kipya gani.
Ila namshukuru kwa kuziweka habari kwa Kiswahili kwa wengi wasiojua Kiingereza au wavivu wa kusoma mambo tofauti.
Hata mimi sijasema kwamba umesema ni kitu kipya.Hakuna sehemu nimesema ni kitu kipya hayo ya kitu kipya umesema wewe na sio mimi
Kapige nyeto tu upate raha usahau huu ujinga.Inasikitisha sana
Namimi sikujalazimisha uamini nachoamini kwani usipoamini unanipunguzia nini wewe usiamini hiyo ni haki yakoHata mimi sijasema kwamba umesema ni kitu kipya.
Ila kwangu mimi hoja zako ziko uninteresting kwa sababu hakuna ninapojifunza kitu kipya ambacho sikijui.
Kuna muda huwa nasoma habari flani flani humu inakuwa kama narudia kitu ambacho nishakijua kitaambo, sasa najaribu kuangalia mtu ambaye atakuwa na ufahamu mdogo ili uweze kumwelekeza zaidi lakini unakutana na kejeri na kuamua kuacha tu wajibishie na kubishana wenyewe. Nilichojifunza ni kwamba mambo mengi kuhusu ujuzi na ulimwengu huu yapo katika lugha adhimu za kigeni, kwa watu wenye shida ya uwelewa wa lugha hizo hata kiingereza tu wanakuwa na ifahamu mdogo sana juu ya mambo mengi sana. Hakuna namna wacha tuendelee kuishi hivyo hivyoUkiwa unajua Kiingereza halafu unasomasoma mambo utajua hamna jipya hapa.
Ila kwa wengi wetu ambao hawajui Kiingereza au hawajasoma au vyote, wanaweza kushangaa.
Sasa mimi unaniambia Jupiter si sayari ni nyota leo wakati hiyo habari nimeisoma tangu enzi za Carl Sagan nitaona una kipya gani.
Ila namshukuru kwa kuziweka habari kwa Kiswahili kwa wengi wasiojua Kiingereza au wavivu wa kusoma mambo tofauti.
Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaKapige nyeto tu upate raha usahau huu ujinga.
Bora niache kuishi kuliko kuacha nyeto 😎Kapige nyeto tu upate raha usahau huu ujinga.
Mtu mwingine huyu ambaye ni mtumwa wa wazunguKuna muda huwa nasoma habari flani flani humu inakuwa kama narudia kitu ambacho nishakijua kitaambo, sasa najaribu kuangalia mtu ambaye atakuwa na ufahamu mdogo ili uweze kumwelekeza zaidi lakini unakutana na kejeri na kuamua kuacha tu wajibishie na kubishana wenyewe. Nilichojifunza ni kwamba mambo mengi kuhusu ujuzi na ulimwengu huu yapo katika lugha adhimu za kigeni, kwa watu wenye shida ya uwelewa wa lugha hizo hata kiingereza tu wanakuwa na ifahamu mdogo sana juu ya mambo mengi sana. Hakuna namna wacha tuendelee kuishi hivyo hivyo
Kiingereza kinatu cost sana.Kuna muda huwa nasoma habari flani flani humu inakuwa kama narudia kitu ambacho nishakijua kitaambo, sasa najaribu kuangalia mtu ambaye atakuwa na ufahamu mdogo ili uweze kumwelekeza zaidi lakini unakutana na kejeri na kuamua kuacha tu wajibishie na kubishana wenyewe. Nilichojifunza ni kwamba mambo mengi kuhusu ujuzi na ulimwengu huu yapo katika lugha adhimu za kigeni, kwa watu wenye shida ya uwelewa wa lugha hizo hata kiingereza tu wanakuwa na ifahamu mdogo sana juu ya mambo mengi sana. Hakuna namna wacha tuendelee kuishi hivyo hivyo
Kama hata hili nililolisema unalipinga bhasi sijui nikuweke kwenye group gani mkuu.Mtu mwingine huyu ambaye ni mtumwa wa wazungu
Wewe ni mtumwa wa wazungu sio kosa lako hauko huru kufikiriKiingereza kinatu cost sana.