Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #21
Wewe niweke kwenye group unalotaka lakin mimi sio mtumwa wa kifikra nina-uhuru wa kufikiri na hata kukosea kama wao wanavyojaribu na kukoseaKama hata hili nililolisema unalipinga bhasi sijui nikuweke kwenye group gani mkuu.
Wewe ngumbaru tengeneza internet yako ya Waafrika uandike kwa herufi zako za Kiafrika tujue kweli wewe hutegemei wazungu.Wewe ni mtumwa wa wazungu sio kosa lako hauko huru kufikiri
Wewe tukana au dhihaki unavyojua wala mimi siwezi kukidhihaki au kutukana NAKUSHIMU SANA HATA KAMA HATUKUBALIANI sababu hauko huru kufikiri na umeshikwa akili na wazungu huu ni ukweli nakusaidia ili utoke hukoWewe ngumbaru tengeneza internet yako ya Waafrika uandike kwa herufi zako za Kiafrika tujue kweli wewe hutegemei wazungu.
Wewe tukana au dhihaki unavyojua wala mimi siwezi kukidhihaki au kutukana NAKUSHIMU SANA HATA KAMA HATUKUBALIANI sababu hauko huru kufikiri na umeshikwa akili na wazungu huu ni ukweli nakusaidia ili utoke huko
Duniani tunategemeana
Umedhihirisha kwamba wewe ni mjinga unatishia mtu kwa kumuweka ignore list wewe ndo umeanza kundhihaki alafu unakimbilia kuniweka kwenye ignore list interestingLogical non sequitur fallacy.
Strawman argument fallacy.
Mimi nimekupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona posts zako.
Sina muda wa kujibizana na wagonjwa wa akili.
Ahsante kwa kushirikiAhsante kwa taarifa
Mimi sikubaliani na uzi wako kwa asilimia 100 ila nimejaribu kuangalia conversation zako na kiranga kwanza sijaona kosa lako nilichokiona kwa kiranga ni hali ya dharau na kujipa umuhimu kwenye maisha ya watu kumtishia mtu utamuweka kwenye ignore listUmedhihirisha kwamba wewe ni mjinga unatishia mtu kwa kumuweka ignore list wewe ndo umeanza kundhihaki alafu unakimbilia kuniweka kwenye ignore list interesting
Kumtishia mtu utamweka kwenye ignore ni kujiba umuhimu kwenye maisha ya watu na pia ni utotoLogical non sequitur fallacy.
Strawman argument fallacy.
Mimi nimekupeleka ignore list, kuanzia hapa sitaona posts zako.
Sina muda wa kujibizana na wagonjwa wa akili.
Jambo lolote lile mwafrika akijaribu kulifanya ataambiwa kuna mzungu alishaandika tayari atakama ni uongoKama hata hili nililolisema unalipinga bhasi sijui nikuweke kwenye group gani mkuu.