nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,595
- 2,503
Siyo kila kitu usichokiona basi hakipoShetani hayupo kiuhalisia, shetani ni kiumbe wa kufikirika aliyetengenezwa na mwanadamu ili yeye mwanadamu akikosea kitu fulani apate wa kumsingizia.
Mfano upepo, umeme
Lakini macho yetu yana uwezo wa kuona vitu na vingine hayana uwezo wa kuviona
Baadhi ya wanyama wana uwezo wa kuona vitu zaidi yetu
Shetani ni viumbe wa kiroho huwezi kuwaona
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app