Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Atakuwa amechukua hela za Mungu ambazo sisi hazituhusu, watajuana wenyewe sisi tukisha toa kwa mkono wa kulia mkono wa kushoto haujui kama umetoa.1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa.
2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe.
NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu akisikiliza matangazo, sadaka wiki iliyopita makusanyo 50m TZS hajahamasika hapo?
Watumishi wote feki wana ulinzi wa kutosha๐Nimekuelewa ila natamani wale watumishi feki wanaowaliza watu waibiwe sadaka nono๐คฃ
Kutokurusha ndio kutaongeza hamasa ya huo wizi (wakijua hawataonekana LIVE)1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa.
2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe.
NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu akisikiliza matangazo, sadaka wiki iliyopita makusanyo 50m TZS hajahamasika hapo?
Hapana ila ni kama wametekwa. Yaani mtu yupo karibu na mchungaji kuliko mume wake au ndugu zake. Sio sawaMkuu!
Kwani wanalazimishwa?
๐๐๐๐ So hapo matamanio yangu hayatatimiaWatumishi wote feki wana ulinzi wa kutosha๐
Hilo ni tatizo.Hapana ila ni kama wametekwa. Yaani mtu yupo karibu na mchungaji kuliko mume wake au ndugu zake. Sio sawa
Hakuna lolote acha uzushi weweKuna mtu aliiba sadaka akawa chizzi,mwingine alikufa,jaribu mambo yote ila usiibe sadaka,
Live coverage wakati wa utoaji wa sadaka ni High threatWasipotangaza watu wanahoji...
Kawaida tuNB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu akisikiliza matangazo, sadaka wiki iliyopita makusanyo 50m TZS hajahamasika hapo?