Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 21,741
- 26,735
Atakuwa amechukua hela za Mungu ambazo sisi hazituhusu, watajuana wenyewe sisi tukisha toa kwa mkono wa kulia mkono wa kushoto haujui kama umetoa.1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa.
2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe.
NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu akisikiliza matangazo, sadaka wiki iliyopita makusanyo 50m TZS hajahamasika hapo?