Tetesi: Shetani yupo kazini: Nyumba za ibada Imarisheni ulinzi/msirushe LIVE (YouTube) wakati wa kutoa sadaka

1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa.

2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe.

NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu akisikiliza matangazo, sadaka wiki iliyopita makusanyo 50m TZS hajahamasika hapo?
Atakuwa amechukua hela za Mungu ambazo sisi hazituhusu, watajuana wenyewe sisi tukisha toa kwa mkono wa kulia mkono wa kushoto haujui kama umetoa.
 
Sisi sadaka na zaka kanisani kwetu mwezi huu ninmilio 110, na imerushwa live redio na youtube
 
1. Maendeleo ya Teknolojia yamefanya ibada kurushwa LIVE mitandao ya kijamii (YouTube , Instagram) ila majambazi nayo yapo rada kutafuta fursa.

2. Tafadhali nyumba za ibada msirushe live wakati wa utoaji sadaka. Na pia ulinzi uimarishwe.

NB: Msiposikiliza huu ushauri soon mtalia. Mtu akisikiliza matangazo, sadaka wiki iliyopita makusanyo 50m TZS hajahamasika hapo?
Kutokurusha ndio kutaongeza hamasa ya huo wizi (wakijua hawataonekana LIVE)
 
Back
Top Bottom