Candymumie
Member
- Sep 13, 2014
- 88
- 50
Watu kwa kupenda kuchochea mabifu... jamaa kaulizwa kama ana mpango wa kufanya kazi na Kiba.. na yeye amejibu kwamba hana mpango huo... na si Kiba tu bali na yeyote... sasa tatizo liko wapi? Kumbe ndo maneno kama haya utakuta wengine mnayapindua pindua na kusema "Sheta amesema Kiba hana kiwango cha kufanya korabo na yeye!"
Na kwa maajabu ya wana-JF, mtu anaweza kutoka povu na ku-comment kwa kusoma heading peke yake bila kusoma habari yenyewe... utafikiri wanafanya mashindano ya atakayekuwa wa kwanza ku-post!Nafikiri huyu aliyeleta uzi ndio kauleta kichonganishi hasa kwa heading aliyotumia, heading inasema "sina mpango wa kufanyakazi na alikiba" wakati kwenye kontent kaandika "sifikirii kufanya kazi na alikiba kwa sasa", yaani ni full uchonganishi....
Kwani hiyo Collabo ni ki-Musoma, wewe vipi?!Mkuu ni collabo not korabo. Musoma moja hiyooo
Alianzia kwa Mwana FA then kwa Belle9 then kwa Dully na Tundaman then kwa Diamond then kwa Lina, alipoona kaanza kufifia akaenda kuomba tena boost ya Diamond, baada ya kubustiwa ndo kaanza mashauzi ya kujifanya yeye level zake sio local tena bali international. Ningekuwa meneja wake ningempa kwanza mtihani wa kutoa wimbo mmoja tu solo, ukiweza kuhit bila sapoti ndo aanze kufikiria mambo ya kuvuka boda
Anatafuta cheap popularity hana lolote atupishe kule, anajifanya yy ni International wakati hata Geita tu hafahamiki pyuuuuuu
hahaaa mbali kote huko....!!!
home tu pale mwanangu hamjui!!!
Kwani hiyo Collabo ni ki-Musoma, wewe vipi?!
Ninavyofahamu mimi hiyo collabo ni kizungu kwahiyo issue ni kutofahamu kizungu na hakuna uhusiano na ki-Musoma!Korabo uloandika ww ndo ya ki-Musoma, kurya original. Vp umepanic? ???!!!!
Kwan nyimbo zake si hua tunazisikia kwan hua anaimba kimya kimya,neno baba kayera nalo umeona ni mistariiiii
Ni baba kayera hua analirembesha tu
Duh... aisee nyie watu mna mambo... yaani mtu kutafuta kufanya kazi na wasanii wa nje ndo anajifanya international... wapeni watu wafanye kile wanachoamini kitawatoa... kila mtu ana ndoto zake...ndoto za Shetta kwa sasa ni kufanya kazi na wasanii wa nje coz' keshafanya na wasanii kadhaa wa ndani! Tena kawa very clear, kwa sasa anataka kufanya kazi na wasanii wa nje otherwise, anafanya kivyake... tatizo lipo wapi!!!Anatafuta cheap popularity hana lolote atupishe kule, anajifanya yy ni International wakati hata Geita tu hafahamiki pyuuuuuu
Ya uchonganishi na umbea na unafiki zote nilipata A
Kwan nyimbo zake si hua tunazisikia kwan hua anaimba kimya kimya,neno baba kayera nalo umeona ni mistariiiii
Hahahahaaa eti baba kayera duh!!!
Umenichekesha aiseee hadi nimesahau nilitaka kucomment nini!
Kwakweli mpo juu.
However, Shetta sio level moja na Ali Kiba ukiachilia mbali utofauti wa mziki wanaofanya. Shetta level zake ni za kina Young Dee, Cyrill, Gosby, Mabeste....
Ali K is very far from Shetta, Shetta hastahili hata kutamkwa kwenye sentensi moja na jamaa
Ukiwa na Roho ya kwann Ujanani... Uzeeni utakuwa Mchawi... Shauri Lako.
Sweta sijui sheta ndio nani?
MUNGU wanguuumkuu wa kitengo cha kupambana na Ebola huko Liberia