Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

Watu kwa kupenda kuchochea mabifu... jamaa kaulizwa kama ana mpango wa kufanya kazi na Kiba.. na yeye amejibu kwamba hana mpango huo... na si Kiba tu bali na yeyote... sasa tatizo liko wapi? Kumbe ndo maneno kama haya utakuta wengine mnayapindua pindua na kusema "Sheta amesema Kiba hana kiwango cha kufanya korabo na yeye!"

Mkuu ni collabo not korabo. Musoma moja hiyooo
 
Nafikiri huyu aliyeleta uzi ndio kauleta kichonganishi hasa kwa heading aliyotumia, heading inasema "sina mpango wa kufanyakazi na alikiba" wakati kwenye kontent kaandika "sifikirii kufanya kazi na alikiba kwa sasa", yaani ni full uchonganishi....
Na kwa maajabu ya wana-JF, mtu anaweza kutoka povu na ku-comment kwa kusoma heading peke yake bila kusoma habari yenyewe... utafikiri wanafanya mashindano ya atakayekuwa wa kwanza ku-post!
 
Alianzia kwa Mwana FA then kwa Belle9 then kwa Dully na Tundaman then kwa Diamond then kwa Lina, alipoona kaanza kufifia akaenda kuomba tena boost ya Diamond, baada ya kubustiwa ndo kaanza mashauzi ya kujifanya yeye level zake sio local tena bali international. Ningekuwa meneja wake ningempa kwanza mtihani wa kutoa wimbo mmoja tu solo, ukiweza kuhit bila sapoti ndo aanze kufikiria mambo ya kuvuka boda

Anatafuta cheap popularity hana lolote atupishe kule, anajifanya yy ni International wakati hata Geita tu hafahamiki pyuuuuuu
 
Anatafuta cheap popularity hana lolote atupishe kule, anajifanya yy ni International wakati hata Geita tu hafahamiki pyuuuuuu

hahaaa mbali kote huko....!!!
home tu pale mwanangu hamjui!!!
 
sheta hata midomo wamefanana na diamond,asingesikika kwenye tasnia ya mziki angekaa hata wiki 3 bila kazi,mziki anaforce kwa vile hata njia nyingine ya kuipatia familia msosi hana,ila hana kipya asizingue na asimzungumzie alikiba maana kiba anaweza kaa hata mwaka akirudi anafunika wote.
 
Anatafuta cheap popularity hana lolote atupishe kule, anajifanya yy ni International wakati hata Geita tu hafahamiki pyuuuuuu
Duh... aisee nyie watu mna mambo... yaani mtu kutafuta kufanya kazi na wasanii wa nje ndo anajifanya international... wapeni watu wafanye kile wanachoamini kitawatoa... kila mtu ana ndoto zake...ndoto za Shetta kwa sasa ni kufanya kazi na wasanii wa nje coz' keshafanya na wasanii kadhaa wa ndani! Tena kawa very clear, kwa sasa anataka kufanya kazi na wasanii wa nje otherwise, anafanya kivyake... tatizo lipo wapi!!!
 
Hahahahaaa eti baba kayera duh!!!
Umenichekesha aiseee hadi nimesahau nilitaka kucomment nini!

Umeonaa ee leo nimeandika nikiwa siriaz ee hadi umesahau ulichokua wataka kukoment
 
However, Shetta sio level moja na Ali Kiba ukiachilia mbali utofauti wa mziki wanaofanya. Shetta level zake ni za kina Young Dee, Cyrill, Gosby, Mabeste....

Ali K is very far from Shetta, Shetta hastahili hata kutamkwa kwenye sentensi moja na jamaa

Hayupo ata kwenye level za mabeste au young dee...sheta hajui mziki, anabebwa sana na collabo
 
Back
Top Bottom