Candymumie
Member
- Sep 13, 2014
- 88
- 50
Watu kwa kupenda kuchochea mabifu... jamaa kaulizwa kama ana mpango wa kufanya kazi na Kiba.. na yeye amejibu kwamba hana mpango huo... na si Kiba tu bali na yeyote... sasa tatizo liko wapi? Kumbe ndo maneno kama haya utakuta wengine mnayapindua pindua na kusema "Sheta amesema Kiba hana kiwango cha kufanya korabo na yeye!"
Mkuu ni collabo not korabo. Musoma moja hiyooo