Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Sheta ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaofanya kazi na hit makers wa bongo kwenye nyimbo zake amezungumzia uwezekano wa collabo na Ali Kiba Kwenye exclusive interview.

Swali> Sheta Una mpango wa kufanya wimbo wa Ali Kiba?

Jibu [Sheta]> Sijafikiria kufanya kazi na Ali Kiba,Kwa sasa sina mpango wa kufanya wimbo na msanii wa nyumbani, naangalia International au nifanye wimbo mwenyewe?

Swali> Tungependa kujua wasanii wa nje unaopanga kufanya nao kazi

Jibu [Sheta]> Wako kama watano, uongozi unaangalia yupi anafaa na atapatikana, siku tayari kusema majina sasa ila wimbo uko tayari.

Chanzo: Misago
 
However, Shetta sio level moja na Ali Kiba ukiachilia mbali utofauti wa mziki wanaofanya. Shetta level zake ni za kina Young Dee, Cyrill, Gosby, Mabeste....

Ali K is very far from Shetta, Shetta hastahili hata kutamkwa kwenye sentensi moja na jamaa
 
Watu kwa kupenda kuchochea mabifu... jamaa kaulizwa kama ana mpango wa kufanya kazi na Kiba.. na yeye amejibu kwamba hana mpango huo... na si Kiba tu bali na yeyote... sasa tatizo liko wapi? Kumbe ndo maneno kama haya utakuta wengine mnayapindua pindua na kusema "Sheta amesema Kiba hana kiwango cha kufanya korabo na yeye!"
 
sheta anatembelea nyota za watu
anategemea collabo ndo ahit
kuthibisha hilo ndo mana hajawàh toa wimbo km solo artist

Alianzia kwa Mwana FA then kwa Belle9 then kwa Dully na Tundaman then kwa Diamond then kwa Lina, alipoona kaanza kufifia akaenda kuomba tena boost ya Diamond, baada ya kubustiwa ndo kaanza mashauzi ya kujifanya yeye level zake sio local tena bali international. Ningekuwa meneja wake ningempa kwanza mtihani wa kutoa wimbo mmoja tu solo, ukiweza kuhit bila sapoti ndo aanze kufikiria mambo ya kuvuka boda
 
Alianzia kwa Mwana FA then kwa Belle9 then kwa Dully na Tundaman then kwa Diamond then kwa Lina, alipoona kaanza kufifia akaenda kuomba tena boost ya Diamond, baada ya kubustiwa ndo kaanza mashauzi ya kujifanya yeye level zake sio local tena bali international. Ningekuwa meneja wake ningempa kwanza mtihani wa kutoa wimbo mmoja tu solo, ukiweza kuhit bila sapoti ndo aanze kufikiria mambo ya kuvuka boda

anatafta kiki anaona jf kutwaa haanzishiwi topik akaona asafirie nyota na hv baba kayla imeanza kushuka
aende kimataifa anakotaka aone km atahit
 
ana mke mwingine pale kino anaitwa Danny mtoto wa mama
 
Sijui hata mmekasirika nini? Naona kama hamkumwelewa shettah kasema nini?
 
Kwani kuna ulazima gani wa kufanya kazi na Ali Kiba? Anyway, hata Ali Kiba nadhani hana mpango wa kufanya kazi na Shetta

nae muuliza swali analake jambo si bure, chokochoko tuuuuu angrrrrr!!!!!
 
kiba anaongea na baba yake na sheta ambae ni ndomo sio huyo kinuka mkojo kwanza aoge akalale kwa mumewe ndomo
 
mimi nimemmind muulizaji, alafu mbona kuna wimbo sheta kafanya na kiba na sijui nani yule tena mzuri tu misago ye anataka nini tena??
 
Back
Top Bottom