Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

Watu kwa kupenda kuchochea mabifu... jamaa kaulizwa kama ana mpango wa kufanya kazi na Kiba.. na yeye amejibu kwamba hana mpango huo... na si Kiba tu bali na yeyote... sasa tatizo liko wapi? Kumbe ndo maneno kama haya utakuta wengine mnayapindua pindua na kusema "Sheta amesema Kiba hana kiwango cha kufanya korabo na yeye!"
mchochezi mkubwa wewe.....
 
Sijui hata mmekasirika nini? Naona kama hamkumwelewa shettah kasema nini?
Washabikia bifu hao... utawaweza! Mtu amesema hana mpango kwa sasa wa kufanya kazi na Kiba wala na msanii yeyote wa hapa nyumbani... maajabu, watu wanakuja juu... yaani wanataka kuhamishia bifu la Kiba na Diamond kwa Shetta! UKiwauliza je, Kiba mwenyewe ame-mind hiyo kauli ya Shetta, hakuna hata mmoja mwenye jibu!!!
 
ana mke mwingine pale kino anaitwa Danny mtoto wa mama

Astaqafirullah kijana mshenzi yule....nasikia ndio michezo yake....sasa alimuolea nini yule bibi bomba wa watu?
 
who the hell sheta is...?!!
even aly hana time!!
km we msanii hasa toa ht single moja peke yake ikisimama mi nahama dar nahamia kigoma kule inakoenda mv liemba

Yaani nisivyompenda na hii kauli tena....dah kanichefua kwelikweli
 
Washabikia bifu hao... utawaweza! Mtu amesema hana mpango kwa sasa wa kufanya kazi na Kiba wala na msanii yeyote wa hapa nyumbani... maajabu, watu wanakuja juu... yaani wanataka kuhamishia bifu la Kiba na Diamond kwa Shetta! UKiwauliza je, Kiba mwenyewe ame-mind hiyo kauli ya Shetta, hakuna hata mmoja mwenye jibu!!!

Kwani huyo kiba siku hizi kawa mlemavu? Yaani eti kila mtu lazima awe upande wake!!! Ukiwa na mawazo tofauti naye basi wajiwa juu!! Mbona wanampa huruma asizohitaji huyu kiba? Anaonewa huruma kama mlemavu wa ngozi hahaaa! Kiba kataa kuwa na mashabiki wasiotaka upate challenges! Kimbia kabisaaa!
 
Ati nini?Hivi kwa akili yako Kiba anaweza kua na bifu na mjinga kama shetta?aisee haya ni matusi makubwa sana...
Hata huyo diamond ambaye unahisi ana bifu nae sivyo...Ally is a wise man ever...hana akili kama za hao wapumbavu wawili hapo juu..
 
Kwani tatizo Kiba basi... tatizo nyie mnaependa kununua kesi za Kiba! Hata hilo suala la Diamond na Kiba nilishasema tangu zamani kwamba mnalikuza... Haya basi, ngoja nikuulize wewe! Kosa la Shetta hapo lipo wapi hadi mnamjia juu kiasi cha kumuita mpumbavu?!
 
Kwani huyo kiba siku hizi kawa mlemavu? Yaani eti kila mtu lazima awe upande wake!!! Ukiwa na mawazo tofauti naye basi wajiwa juu!! Mbona wanampa huruma asizohitaji huyu kiba? Anaonewa huruma kama mlemavu wa ngozi hahaaa! Kiba kataa kuwa na mashabiki wasiotaka upate challenges! Kimbia kabisaaa!
Mashabiki wa Kiba siku hizi wamekuwa kama mashabiki wa UKAWA kule jukwaa la siasa...
 
Kweli nimezeeka hizo nyimbo hata sizijui

Mimi naujua ule alioimba na belle 9 nimechokwa....nyingine sizijui nasikiaga mara mama qaillah sijui baba qaillah hata sielewi

Nidanganye danganye danganye tu ukiniambia ukweli nitaumia hata Kama nikikukuta chumbani mtupu umekumbatiwa

Hahahahah anapiga nao picha huku kaminya midomo????

Hahahhaha BADILI TABIA!
Anaimba nyimbo za kuhusu mabebiz wakarez!
 
Last edited by a moderator:
Alianzia kwa Mwana FA then kwa Belle9 then kwa Dully na Tundaman then kwa Diamond then kwa Lina, alipoona kaanza kufifia akaenda kuomba tena boost ya Diamond, baada ya kubustiwa ndo kaanza mashauzi ya kujifanya yeye level zake sio local tena bali international. Ningekuwa meneja wake ningempa kwanza mtihani wa kutoa wimbo mmoja tu solo, ukiweza kuhit bila sapoti ndo aanze kufikiria mambo ya kuvuka boda

Thubutu😕
 
manjino kwànz kw mzik unaofany hauwez kuvuka boda
jitahid kupgà englsh coz kw rac cmba ili yai liwepo ala cvyo utashndwa hat kusalimiana na hao wa intrnl
jitahd mziki na shule km nikki wa pili,fa nk
umericit jite wee ukaona ukimbie baada ya kupga f tu!!!
bàdilika kupànga kinondon na kueñdesh spacio unaon unawez pga collàbo na msanii yyt dunian co???

## kuwa na respect & descipline km AY ili ucross boda¡!!!!
 
Back
Top Bottom