Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
mchochezi mkubwa wewe.....Watu kwa kupenda kuchochea mabifu... jamaa kaulizwa kama ana mpango wa kufanya kazi na Kiba.. na yeye amejibu kwamba hana mpango huo... na si Kiba tu bali na yeyote... sasa tatizo liko wapi? Kumbe ndo maneno kama haya utakuta wengine mnayapindua pindua na kusema "Sheta amesema Kiba hana kiwango cha kufanya korabo na yeye!"