Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Tena wanavyopenda kukopa bifu basi... mbaya zaidi wengine wanadhani wapo karibu zaidi na hao wasanii kuliko walivyo karibu wasanii kwa wasanii wenyewe! Halafu hawa wasanii wengi wao ni dugu moja kutoka Kigoma... wengine wanaoshabikia bifu utashangaa kuona ni Wapogoro kutoka Mtimbila na Malinyi na wengine Wandendeule kutoka Namtumbo... sasa cjui hawataona aibu cku wenyewe wakishapatana!! Waswahili walipata kusema: "ndugu wakigombana, chukua jembe ukalime!" Team Wema walijifanya kumtolea uvivu Diamond matokeo yake wakajikuta wanashuhuliwa wenyewe na huyo huyo waliekuwa wanampigania!
wasanii wenyewe hswaja gombambana. , walala hoi ndo huanza kusema
hivi unajua fulani anakuzidi kimuziki,oo mara ni handsome zaidi yako atamchukua demu wako, mara akiomba kolabo nawewe utakubali! unakuta hapo ni mtu wa rnb anafananishwa na mtu wa mipasho . sio wanaume sio wanswake kazi majungu, uchonganishi, umbea sijui hao wasanii ni watoto wa baba yenu ; nyambafu