Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

Shetta: Sina mpango wa kufanya kazi na Ali Kiba

Tena wanavyopenda kukopa bifu basi... mbaya zaidi wengine wanadhani wapo karibu zaidi na hao wasanii kuliko walivyo karibu wasanii kwa wasanii wenyewe! Halafu hawa wasanii wengi wao ni dugu moja kutoka Kigoma... wengine wanaoshabikia bifu utashangaa kuona ni Wapogoro kutoka Mtimbila na Malinyi na wengine Wandendeule kutoka Namtumbo... sasa cjui hawataona aibu cku wenyewe wakishapatana!! Waswahili walipata kusema: "ndugu wakigombana, chukua jembe ukalime!" Team Wema walijifanya kumtolea uvivu Diamond matokeo yake wakajikuta wanashuhuliwa wenyewe na huyo huyo waliekuwa wanampigania!


wasanii wenyewe hswaja gombambana. , walala hoi ndo huanza kusema
hivi unajua fulani anakuzidi kimuziki,oo mara ni handsome zaidi yako atamchukua demu wako, mara akiomba kolabo nawewe utakubali! unakuta hapo ni mtu wa rnb anafananishwa na mtu wa mipasho . sio wanaume sio wanswake kazi majungu, uchonganishi, umbea sijui hao wasanii ni watoto wa baba yenu ; nyambafu
 
Daah....always mashabiki sie twapenda kukuza mambo..........
 
Nyie watu kwa kupindisha maneno hamjambo... wapi katika hayo maelezo Shetta amejiona yupo juu na kujifananisha na Ali Kiba? Wapi amesema Ali Kiba anahitaji kufanya kolabo na Shetta?

Soma post tangu mwanzo usianze kusoma comment za watu peke yake
 
Soma post tangu mwanzo usianze kusoma comment za watu peke yake
Comment yangu base yake ni thread kuu... onesha kwenye thread kuu ambapo Shetta amejiona yupo juu na kujifananisha na Kiba na onesha kwenye post kuu aliposema Ali Kiba anahitaji kufanya korabo na yeye... hayo ni maneno yenu nyinyi lakini kwenye mahijiano hayapo, otherwise quote main post kuonesha hayo uliyosema! Labda kwa kukupunguzia kazi, haya hapa:
Swali> Sheta Unampango wa kufanya wimbo wa
Ali Kiba

Jibu [Sheta]> Sijafikiria kufanya kazi na Ali
Kiba,Kwa sasa sina mpango wa kufanya wimbo
na msanii wa nyumbani, naangalia International
au nifanye wimbo mwenyewe
Mtu ameulizwa na yeye amejibu kwamba hana mpango wa kufanya collabo na Ali Kiba lakini akaamua kutumia busara zaidi kwavile alishajua lengo la muuliza swali...kufitinisha, akaamua kumalizia kabisa kwamba, si Ali Kiba tu bali msanii yeyote yule wa hapa nyumbani (kwa sasa)! Kwa asiyependa kupindisha maneno, anaweza kumsifu Shetta coz' ameepuka ufitinishi wa muuliza swali ambao kama asingemalizia hiyo sentensi, ingeonekana anayemlenga ni Kiba!
 
wasanii wenyewe hswaja gombambana. , walala hoi ndo huanza kusema
hivi unajua fulani anakuzidi kimuziki,oo mara ni handsome zaidi yako atamchukua demu wako, mara akiomba kolabo nawewe utakubali! unakuta hapo ni mtu wa rnb anafananishwa na mtu wa mipasho . sio wanaume sio wanswake kazi majungu, uchonganishi, umbea sijui hao wasanii ni watoto wa baba yenu ; nyambafu

Mwaj basi...punguza munkari....
 
Mbona mnamuonea sana Kiba kwani ye anataka kolabo na Sheta atutolee macho dungu yake
 
Shetta ndo diwani wa kata gani hapa bongo?
 
However, Shetta sio level moja na Ali Kiba ukiachilia mbali utofauti wa mziki wanaofanya. Shetta level zake ni za kina Young Dee, Cyrill, Gosby, Mabeste....

Ali K is very far from Shetta, Shetta hastahili hata kutamkwa kwenye sentensi moja na jamaa

Sio Kweli... Uko biased.
 
Watu kwa kupenda kuchochea mabifu... jamaa kaulizwa kama ana mpango wa kufanya kazi na Kiba.. na yeye amejibu kwamba hana mpango huo... na si Kiba tu bali na yeyote... sasa tatizo liko wapi? Kumbe ndo maneno kama haya utakuta wengine mnayapindua pindua na kusema "Sheta amesema Kiba hana kiwango cha kufanya korabo na yeye!"

Na kwann wamuulize kufanya kazi na ali kiba? Kwann specifically Kiba? Utaona ni Muendelezo wa majungu tuu... Na Ujinga Mwingi....!!! Dogo kajibu Poa, ila Mbwembwe nyingi... Mara international artists... Bongo tunashida kila Idara...

"Bonge la Star, Bonge La Njaa" alisema Fid Q.
 
Ati nini?Hivi kwa akili yako Kiba anaweza kua na bifu na mjinga kama shetta?aisee haya ni matusi makubwa sana...
Hata huyo diamond ambaye unahisi ana bifu nae sivyo...Ally is a wise man ever...hana akili kama za hao wapumbavu wawili hapo juu..

Inaonekana Unamjua sana ali k' Hongera.
 
kwa muziki gani alokua nao shetta kutaka wasanii wa nje, mambo mengine tuangalieni sio mnaropoka na kudharau wasanii wa nyumbani..
 
Back
Top Bottom