brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona kwenye ile video ya mitego nae sheta kashikwa makalio!!..naona nae kaja kulipiza kwa snura..kila mtu na mnyonge wake
nimefanyaje tena mkuu??atakua hance mtanashati bila shaka
Kwa hiyo mkuu unamaanisha celebrities forum ni kwa ajili ya wanawake siyo?Nami nilimuuliza hili swali...hance jitathimini ubuyu mwachie warumi
Nachelea kusema cjui kwanini naona hizi habari kama vile hazistahili kuletwa na mtu kama wewe, anyway ni mtazamo wangu labda avatar hiyo nimeiheshimu tu labda, uwe huruKwa hiyo mkuu unamaanisha celebrities forum ni kwa ajili ya wanawake siyo?
Ila mkuu mbona wanaoanzisha mada jukwaa hili wapo wengi sana ,kama vile Brave one, Screpa,Msaga Sumu, na wengineo wenye ID za kiume mbona haujawasema??Nachelea kusema cjui kwanini naona hizi habari kama vile hazistahili kuletwa na mtu kama wewe, anyway ni mtazamo wangu labda avatar hiyo nimeiheshimu tu labda, uwe huru
we ndo utakayefata sijui utamfanya nini huyo bibinimefanyaje tena mkuu??
mkuu endelea kutuletea ubuyu hapa.. HATA WARUMI NI MWANAUMME japo kuna wadau hawajui.. lete ubuyu uwe huru hili jukwaa lina mengiiiiBwana mdogo Sheta Shetani au ukipenda muite babaa Kayla siyo mtu wa mchezo mchezo hata kidogo amedhihirisha hayo kwa kumshika makalio Snura mbele za watu huko Tanga walikoenda kwa ajili ya Show ya Fiesta
Haya sasa Snura kaanza Raymond kukula mate, akaja Manfongo kukupakata pakata kihasara hasara ,akafata Ben Paul AKA baba Sofia, leo hii Sheta , ha ah ha atakaye fata mwingine sijui nan?
View attachment 405868
[HASHTAG]#hance[/HASHTAG] mtanashati# siyo mtu wa mchezo mchezo#
Hahaahaha Mwakikotini Sio mtu wa mchezo mchezoangalia STUNTER usije ukafuatia wewe hapa