Shetta siyo mtu wa mchezo mchezo amshika makalio Snura mbele za watu

Shetta siyo mtu wa mchezo mchezo amshika makalio Snura mbele za watu

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,279
Bwana mdogo Sheta Shetani au ukipenda muite babaa Kayla siyo mtu wa mchezo mchezo hata kidogo amedhihirisha hayo kwa kumshika makalio Snura mbele za watu huko Tanga walikoenda kwa ajili ya Show ya Fiesta

Haya sasa Snura kaanza Raymond kukula mate, akaja Manfongo kukupakata pakata kihasara hasara ,akafata Ben Paul AKA baba Sofia, leo hii Sheta , ha ah ha atakaye fata mwingine sijui nan?

1474667810252.jpg

[HASHTAG]#hance[/HASHTAG] mtanashati# siyo mtu wa mchezo mchezo#
 
Nachelea kusema cjui kwanini naona hizi habari kama vile hazistahili kuletwa na mtu kama wewe, anyway ni mtazamo wangu labda avatar hiyo nimeiheshimu tu labda, uwe huru
Ila mkuu mbona wanaoanzisha mada jukwaa hili wapo wengi sana ,kama vile Brave one, Screpa,Msaga Sumu, na wengineo wenye ID za kiume mbona haujawasema??

Kwa hiyo nikileta habari za Magufuli na Mbowe ndo mtu unakuwa mwanaume? Ila ukileta za diamond na Alikiba unakuwa wa kike??

Duuuh bhasi mororooo
 
Bwana mdogo Sheta Shetani au ukipenda muite babaa Kayla siyo mtu wa mchezo mchezo hata kidogo amedhihirisha hayo kwa kumshika makalio Snura mbele za watu huko Tanga walikoenda kwa ajili ya Show ya Fiesta

Haya sasa Snura kaanza Raymond kukula mate, akaja Manfongo kukupakata pakata kihasara hasara ,akafata Ben Paul AKA baba Sofia, leo hii Sheta , ha ah ha atakaye fata mwingine sijui nan?

View attachment 405868

[HASHTAG]#hance[/HASHTAG] mtanashati# siyo mtu wa mchezo mchezo#
mkuu endelea kutuletea ubuyu hapa.. HATA WARUMI NI MWANAUMME japo kuna wadau hawajui.. lete ubuyu uwe huru hili jukwaa lina mengiiii
 
Back
Top Bottom