HKigwangalla
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 722
- 971
Sidhani kama Shibuda atakuwa amehamia CHADEMA kwa sasa labda kama na yeye atakuwa ameamua kuji-mpendazoe kwa hasira, nadhani busara ya mgombea yeyote yule aliyeshiriki kura za maoni za CCM kwa sasa ni kungojea maamuzi ya vikao ndipo mtu ajue for sure kwamba hakuteuliwa...kwa minajili hii sidhani kama SHibuda atakuwa amejilipua mapema hii...
Akisema huyo Makamba si mbwabwaji kila wakati! Chadema ni chama chenye fursa sawa kwa woote wasafi! Karamagi hawezi kukubaliwa kugombea kwa tiketi ya Chadema! jamani tusichanganye pumba na mchele hao wanaokubalika ni wale wenye kutaka kutetea maslahi ya nchi hiiSipendi kuona watu wanaokataliwa na CCM na kubaki bila jinsi ndio wanakuwa wagombea wa CHADEMA. Naelewa kuna temptation kwa CHADEMA kuwachukua kwa sababu wana name recognition, lakini naweza kumsikia Makamba akisema "Upinzani hawna kitu, wanangojea makombo ya CCM" na katika hili atakuwa right.
Kama hii habari ni kweli, hapa ninachoona ni kwamba Shibuda anataka ubunge kwa hila zote, na wala hajali siasa za vyama. Jambo la hatari sana hili.
Hamna kumpa ugombea ubunge wa CHADEMA huyu. Kuna watu wako CHADEMA miaka yote viongozi wa wilaya, wamejenga uanachama, halafu leo mtu atoke CCM mara moja apewe ugombea ubunge? Hata maji ya kijani hayajamuisha mwilini? Hii itakuwa mbaya sana kwa party morale, unles hao watu wa CHADEMA wa wilayani humo nao ni stooges tu wanaofanya siasa za hero worship and stongmen seeking.
Piga chini Shibuda, from presidential ambitions to no constituency. That's what you get for chickening on Kikwete and having no principle.
chadema ikisimamisha wagombea 'mitumba' kutoka ccm watajizunjia credibility tu.................kinachokuja kichwani ni "hivi chadema yenyewe haina watu makini mpaka ichukue kutoka kwa ccm?" kiasi cha kuwa hata kura ya uraisi inaweza ikapotea
wanaoingia chama dakika hizi za uchaguzi wasipewe chance za kugombea KAMA INAWEZEKANA kikatiba ( if they change the katiba for this, they have my support)
Sidhani kama Shibuda atakuwa amehamia CHADEMA kwa sasa labda kama na yeye atakuwa ameamua kuji-mpendazoe kwa hasira, nadhani busara ya mgombea yeyote yule aliyeshiriki kura za maoni za CCM kwa sasa ni kungojea maamuzi ya vikao ndipo mtu ajue for sure kwamba hakuteuliwa...kwa minajili hii sidhani kama SHibuda atakuwa amejilipua mapema hii...
Well said mate......at least not for jokers like Shibuda for heaven's sake!!Sipendi kuona watu wanaokataliwa na CCM na kubaki bila jinsi ndio wanakuwa wagombea wa CHADEMA. Naelewa kuna temptation kwa CHADEMA kuwachukua kwa sababu wana name recognition, lakini naweza kumsikia Makamba akisema "Upinzani hawna kitu, wanangojea makombo ya CCM" na katika hili atakuwa right.
Kama hii habari ni kweli, hapa ninachoona ni kwamba Shibuda anataka ubunge kwa hila zote, na wala hajali siasa za vyama. Jambo la hatari sana hili.
Hamna kumpa ugombea ubunge wa CHADEMA huyu. Kuna watu wako CHADEMA miaka yote viongozi wa wilaya, wamejenga uanachama, halafu leo mtu atoke CCM mara moja apewe ugombea ubunge? Hata maji ya kijani hayajamuisha mwilini? Hii itakuwa mbaya sana kwa party morale, unles hao watu wa CHADEMA wa wilayani humo nao ni stooges tu wanaofanya siasa za hero worship and stongmen seeking.
Piga chini Shibuda, from presidential ambitions to no constituency. That's what you get for chickening on Kikwete and having no principle.
Sipendi kuona watu wanaokataliwa na CCM na kubaki bila jinsi ndio wanakuwa wagombea wa CHADEMA. Naelewa kuna temptation kwa CHADEMA kuwachukua kwa sababu wana name recognition, lakini naweza kumsikia Makamba akisema "Upinzani hawna kitu, wanangojea makombo ya CCM" na katika hili atakuwa right.

kula tano mkuu
Huyu ni mtu amabaye hana msimamo na mnafiki mkubwa, alitegemea favor kwa kujitoa kugombea urais CCM, kama kuna mtu alimsikia akitoa hotuba yake baada ya kijtoa ataelewa hilo.... na mara kadhaa alisha kana upinzani na kwa kubeza,,, hana maana kabisa!!!
Sidhani kama Shibuda atakuwa amehamia CHADEMA kwa sasa labda kama na yeye atakuwa ameamua kuji-mpendazoe kwa hasira, nadhani busara ya mgombea yeyote yule aliyeshiriki kura za maoni za CCM kwa sasa ni kungojea maamuzi ya vikao ndipo mtu ajue for sure kwamba hakuteuliwa...kwa minajili hii sidhani kama SHibuda atakuwa amejilipua mapema hii...
Wakuu:
Hivi kuna mtu anamchukulia John Shibuda kuwa mtu makini?
Hata juzijuzi nilikutana naye pale Rombo Bar - Sinza: Mainly alikuwa anaongea kama "anasubiri ofa"!
Karamagi hawezi kukubaliwa kugombea kwa tiketi ya Chadema! jamani tusichanganye pumba na mchele hao wanaokubalika ni wale wenye kutaka kutetea maslahi ya nchi hii