Papizo
JF-Expert Member
- Feb 24, 2008
- 4,951
- 1,446
Two words for you; Joe Lieberman
Kwa bongo haya mambo ya falsafa bado sana. Unaweza kuniambia vyama vya siasa Tanzania ni vya mrengo gani?
Mfano mbovu huu.
Sorry mkuu,huyo jamaa mfano wake nimeuelewa na ni wa wazi kabisa,Je wewe unasema kwamba mfano mbovu je unaweza kutupa mfano wako mzuri?