Uchaguzi 2020 Shibuda akemea siasa za majimbo

Akiwa kwenye kampeni huko Maswa Mheshimiwa Shibuda ameungana na wazalendo wengine kukemea siasa za kuwagawa watanzania kupitia majimbo na kanda.

Malizia kusema kuwa ameungana na CCM kukataa serikali za Majimbo
 
Huyo kichaa anamuunga mkono meko, yeye hana sera yoyote, kwa kifupi hicho kichwa chake ni sawa na box tupu.
 
Akiwa kwenye kampeni huko Maswa Mheshimiwa Shibuda ameungana na wazalendo wengine kukemea siasa za kuwagawa watanzania kupitia majimbo na kanda.
Acha ujinga wewe alokuambia siasa za majimbo zinawagawa watu kwa makabila na kanda ni nani? Ulishawahi kusikia USA Kuna mkabila? Kanda ya ziwa ina makabila mangapi? Kusini na nyanda za juu je? Acheni ujinga wenu bhana
 
..mikoa ndiyo zimewagawa wananchi kwa makabila yao.

..majimbo yanaunganisha watu kuliko mikoa.
 
Acha ujinga wewe alokuambia siasa za majimbo zinawagawa watu kwa makabila na kanda ni nani? Ulishawahi kusikia USA Kuna mkabila? Kanda ya ziwa ina makabila mangapi? Kusini na nyanda za juu je? Acheni ujinga wenu bhana
USA sio Tanzania acheni kuiga mambo ya ajabu
 
Tanzania na USA kote wanaishi binadamu na zote zipo duniani.
Kama hutaki kuiga ya USA huu mfumo wa vyama vingi umeutoa kwenu chato?
 
Akiwa kwenye kampeni huko Maswa Mheshimiwa Shibuda ameungana na wazalendo wengine kukemea siasa za kuwagawa watanzania kupitia majimbo na kanda.

Maelezo ya Shibuda yanaonesha ana USHIRIKA NA CCM.

TUME YA UCHAGUZI TOENI MWONGOZO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…